Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Usitufanyie hivo bana we tudondoshee mjitabu hapa hela ya nini tena, ahsante kwa jina lake ngoja nikisake.....mwandishi nani??
Kuna mdau anacho kuwa nasoma kwake.......!! Nlishamwambia anipe akasema amekipata kwa gharama sana bila chochote hanipi
 
Kuna mdau anacho kuwa nasoma kwake.......!! Nlishamwambia anipe akasema amekipata kwa gharama sana bila chochote hanipi
Mwandishi ni nani tukipate bure, ndio umesema kinaitwa The gold book??? Kesho nitakipata.

Nitakiweka hapa halafu utamuambia jombaa roho mbaya haijengi😁
 
Hicho kitabu kimeenda dimension nyingine.

Kuna sehemu unaulizwa, vipi kama panya walio katika labotatory wana akili kuzidi watu wanaowafanyia majaribio, na kiukweli hao panya ndio wanawafanyia watu majaribio, lakini wamejifanya kama wao ndio wanafanyiwa majaribio ?
😄😄😄
 
Thanks for the thread, hoby yangu namba moja ni kusoma vitabu..baadhi nilivyosoma karibuni na quotes nilizopenda!

-As a man thinketh by james allen-Circumtances does not make a man, it reveals him to himself

-Essay on self reliance by Ralph Waldo Emerson- in every work of genius we see our own rejected thoughts

-Hown to win friends and influence people by Dale carnegie- kuna part anamzungmzia aliyewahi kuwa balozi wa USA Ben franklin aliyewahi kusema i will speak ill of no man but i will speak all the good i know about every body..pia anadokeza mahali Confucios aliwahi kunukuliwa akisema to know is to know nothing, hiki kitabu na recommend usome kwa kila hali!

-Meditations by Marcus aurelius- the best book to combat daily life situations based on stoic philosophy!

KHAN!
Cha Ralph Waldo Emerson kinapatikana?
 
Mkapa aliitwa "Mr. Clean". Kama sifa ya kuwa mpinga rushwa.

Alipopata urais tu, Kitwana Kondo akataka kuonana naye ili ampongeze.

Mkapa akamwambia, kama pongezi, chukua ukurasa wa gazeti la serikali uchapishe gazetini. Such a journalist!

Ujumbe ulikuwa kwamba hataki watu wamzonge ili kutafuta influence.

Hapo hapo, rafiki yake Mkapa, "Sir" Andy Chande akamnunulia Mkapa Range Rover Vogue kama pongezi za kuwa rais.

Mkapa akalichukua, aka park pale Sea View.

Nikasema Mr. Clean kakubali hii pongezi ya Range Rover Vogue kutoka kwa Andy Chande wakati Kitwana Kondo hata kukutana naye tu kakataa?

Nikasema labda atalirudisha. Ikawa kila nikienda Sea View nalikuta.

Kutoka hapo nikajua kwamba habari za "Mr. Clean" ni mazingaombwe tu.

Ukijua habari kama hizi, ambazo kuandikwa kwenye vitabu sitegemei, utajua hivi vitabu ni public relations campaign tu.
😄😄😄
 
Demokrasia ina changamoto nyingi. Changamoto moja ni elimu. Shukurani kwa kusoma na kujielimisha zaidi kuhusu demokrasia.

Demokrasia si lazima iendane na matakwa ya wengi.

Kwa mfano.

Huwezi kuwa na demokrasia kwa kusema serikali imechaguliwa na wengi, wakati walioichagua serikali hao wengi ni wajinga na hata hawajui wamechagua nini, au wanadanganywa kirahisi kwa sababu hawajui hata kusoma na kuandika.

Ndiyo maana watu kama Mwalimu Nyerere waliona nchi yetu itakuwa na demokrasia zaidi kwa kuwa na vyama vingi, ingawa tume ya Jaji Nyalali ilionesha asilimia 80 ya Watanzania walitaka kuendelea na chama kimoja, na asilimia 20 tu ilitaka Tanzania iwe na vyama vingi.

Huo ni mfano wa mtu kuona mbali zaidi ya tafsiri finyu ya demokrasia ya "wengi wape".
✅✅✅
 
micind,


Mkuu uandishi wa CHINUA ACHEBE uko vzr sn hasa kwenye THINGS FALL APART, huwa na cheka sn.
Binafsi hakuna African literature ilinichekesha kama Song of Lawino and Ocol. Na description iliyonibamba ni ya Beautyful ones are not yet born.
 
Back
Top Bottom