Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezea ni hikiHere it is
Naomba litabu cha napoleon hill "LAW OF SUCCESSMy first novel outside of class study was 17 law of success by Napoleon Hill followed by Rich brother, rich sister by Robert kyosaki but my best book is the richest man in Babylon. This three books changed my mind and I had never picked my degree certificate since my graduation in 2013. Life is so good with reading books
Kitabu kile ndo nilikielewa zaidi maana kana kwamba nililuwa nasoma idea zangu siku ya kwanza naanza kukisoma nikawa nashangaa najisemea hee kumbe kweli nilichokuwa nawaza tokea zamani.Dah. Hongera. Basi mimi nina 'ukilaza' kwenye baadhi ya mambo. Concepts za hiki kitabu zilinishinda kabisa kuzielewa.
Kitabu kile ndo nilikielewa zaidi maana kana kwamba nililuwa nasoma idea zangu siku ya kwanza naanza kukisoma nikawa nashangaa najisemea hee kumbe kweli nilichokuwa nawaza tokea zamani.
Kinahusu nini mkuu wangu.Guys I recommend to you the book become better you by Joel osteen you will enjoy ur reading journey
Huu uzi umenifunza mengi sana.Naona umefufua uzi.
To become better a best version of youKinahusu nini mkuu wangu.
Na pi tuwekee hapa softcopy tuenjoy.
N
👇👇👇Kinahusu nini mkuu wangu.
Na pi tuwekee hapa softcopy tuenjoy.
N
Huu uzi umenifunza mengi sana.
Hiki kitabu kimekufunza nini mkuu ?TRADING IN THE ZONE mark douglass. kimenifunza mambo mengi sana maana nilikuwa naelekea kukata tamaa now safari ndo kwanza kama inaanza vile babu huyu abarikiwe huko aliko
Sasa we ndugu Dustin Rhys unalike tu bila kunipatia kitabu? 😎Wakuu mwenye kitabu An Understated Dominance by Marina Vittori msaada tafadhali Paula Paul na wengineo wadau wa humu
Mkuu hicho bado wanatoa kwa chapter, sijafanikiwa kuona mahali kipo complete.Sasa we ndugu Dustin Rhys unalike tu bila kunipatia kitabu? 😎
Okay...saiz kipo chapter ya ngapi mkuu?Mkuu hicho bado wanatoa kwa chapter, sijafanikiwa kuona mahali kipo complete.
Shukrani Gold, kama una self help nyingine tuwekee....
Vitabu nivipendavyo, ahsante DR.Guys I recommend to you the book become better you by Joel osteen you will enjoy ur reading journey
True•Purpose driven life by Rick Warren kipo pia version ya kiswahili.(maisha yanayoongozwa na malengo)
•The holly spirit and his gifts by Kenneth E Hagin.A great spiritual book
Purple hibiscus by chimmanda ngozi adichie
Half of yellow sun by chimmanda ngozi adichie
Americanah by chimmanda ngozi adichie
The thing around your neck by chimmanda ngozi adichie
Things fall apart by chinua Achebe
Gifted hands ben Carson
Songs of lawino and ocol
Who Will cry when you die
Napenda Sana vitabu ambavyo authors wake ni waafrica, you can relate and learn at the same time my favorite authors so far ni chinua Achebe na chimmanda ngozi adichie.