Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Usjari ntafurahi sana ukiwa unafanya hvyo [emoji3][emoji3][emoji3] ninavitabu kama mia 500 kwenye laptop mziki ni kusoma
 
Absolutely..si vyema kuhukumu sana watu

i loved and enjoyed her honesty..

inasaidia kuona maisha ni kupambana,

Nilipenda bidii yake katika kila kitu kwa kweli kuanzia nyumbani,shule, kazi hadi kulea familia
kaelezea mengi mnoo and most of all nilipenda sana sana mahusiano yake na Obama, Mr.

ilinisikitisha walivopata tabu sn kutafta watoto ila Mungu mkubwa kwa kweli..
 
Nlitaka kusema tutumie hapa tafadhali kumbe nnacho haha
Bt nadhani u may share kwa manufaa ya wengine
 
Huwa mnapenda kusoma kwa mfumo gani?.
Hardcopy/cover or soft copy?

For me nasoma softcopy mostly inasaidia kutunza vitabu vingi..portability na kuwa flexible etc
Hardcopy labda tu nikose soft yake

iBooks is the best

kwa mnaotumia tablet na kindle zipoje?.sijawahi jaribu hizo
 
Soma na hiki cha I can, I must,I Will cha Dr MENGI. Kina maisha halisi ya mtanzania na pia njia alizotumia au kupitia hadi kufanikiwa ni aplicable kwenye maisha halisi ya mtanzania unlike walizoandika wazungu.
Capitalist nigger imeandikwa na chika onyeani ni mnaija. Jaribu kukisoma.
Cha Dr Mengi nakieka katika list japo kiukweli kusoma ni mtihani [emoji32][emoji32]
 
Asante sana kwa haya maelezo T14 Armata.
 
Vitabu are here to stay

Hiv vitabu nawapa sana respect wandishi. Na maaudhui walionesha it imposible kueleza feeling zilizomo humu

1: to kill a mockingbird by harper lee

2: my sister keeper by judy piquot
Vinahusu nini?
 
Hii imechezwa movie pia? Ya mkaka mmoja alisingiziwa kesi akafungwa halafu akawa anafanya mipango ya kutoroka na rafiki yake inafeli mwisho wa siku inabidi rrafiki yake amsaidie atoroke mwenyewe yeye abaki?
Story ndio ipo kwenye hiki kitabu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…