Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Na nimeendelea leo nimepata haya
"The hand that gives is the hand that gather's"
"Without our rich heart, wealth is an ugly beggar"
Superb!!! Hongera sana Hon..
Umeona ilivyo raha kusoma vitabu? Na inaelekea una usomaji mzuri wa hatua kwa hatua ndio maana umeweza kunasa hizo quotes. Keep it up.
 
Unakuta mtu anajisifia kusoma lundo la vitabu, lakini most ya hivyo vitabu ukisoma tu introduction unagundua kabisa kilichoandikwa humo ni upotoshaji wa kishetani, kuna watu wana muda wa kupoteza aisee..
 
Unajua ukashindwa kumshawishi mtu kitu Fulani kipo, hauwezi ona ana tatizo kwa kutokuamini,baada ya kumdhibitishia kipo na asipoamini hapo ndio unaweza ona anatatizo. Ndio maana Mimi sioni tatizo mtu kuw Atheist.
Kusema kwako huoni tatizo kielimu unafanya makosa na ndio maana nikasema wewe ni tatizo sababu huna elimu ya hiki unacho kiegemea.

Huko nyuma nilikwambia Imani ina mambo matatu,na suala la kuamini katika Imani huja baadae kwanza huanza na kujua,kisha kusadikisha kisha kufanyia kazi yale unayo yaamini.

Huko nyuma pia nilikuuliza ili jambo liwepo huwa unatumia nini kujua lipo ? Binadamu wameumbwa tofauti hasa hawa wakana mungu huwa wanakataa jambo hata kama lina ushahidi wa wazi,wao huwa wana kataa sasa watu hawa huna cha kuwathibitishia zaidi ya kuwaacha na maswali wasiyo weza kuyajibu. Tuko nao sana humu. Akili iliyo salama katu haiwezi kukanusha uwepo wa Mola muumba.

Kwahiyo watu wanathibitishiwa sana juu ya kuwepo kwa Mola mlezi lakini sababu wameamua kufata matamani yao,ukweli huwa wanaukataa kwa maslahi yao wenyewe.
 
My LIfe, My Purpose,

because it is such a funny, fictitious comedy!
Mkapa aliitwa "Mr. Clean". Kama sifa ya kuwa mpinga rushwa.

Alipopata urais tu, Kitwana Kondo akataka kuonana naye ili ampongeze.

Mkapa akamwambia, kama pongezi, chukua ukurasa wa gazeti la serikali uchapishe gazetini. Such a journalist!

Ujumbe ulikuwa kwamba hataki watu wamzonge ili kutafuta influence.

Hapo hapo, rafiki yake Mkapa, "Sir" Andy Chande akamnunulia Mkapa Range Rover Vogue kama pongezi za kuwa rais.

Mkapa akalichukua, aka park pale Sea View.

Nikasema Mr. Clean kakubali hii pongezi ya Range Rover Vogue kutoka kwa Andy Chande wakati Kitwana Kondo hata kukutana naye tu kakataa?

Nikasema labda atalirudisha. Ikawa kila nikienda Sea View nalikuta.

Kutoka hapo nikajua kwamba habari za "Mr. Clean" ni mazingaombwe tu.

Ukijua habari kama hizi, ambazo kuandikwa kwenye vitabu sitegemei, utajua hivi vitabu ni public relations campaign tu.
 
Unakuta mtu anajisifia kusoma lundo la vitabu, lakini most ya hivyo vitabu ukisoma tu introduction unagundua kabisa kilichoandikwa humo ni upotoshaji wa kishetani, kuna watu wana muda wa kupoteza aisee..
Umesema kweli kabisa. Watu inaonekana wanapenda habari za uongo na za kutungwa na kupoteza muda.

Yaani kuna watu wameandika vitabu,kila mstari ni elimu na unatakiwa uifanyie kazi.
 
Zurri miongoni mwa funzo nililolipata kwenye kusoma kitabu cha How To Win Friends and Influence People is to avoid "pointless argument".
Na kati ya vitu ambavo sipendi kutumia nguvu kubishana ni vitu ambavyo vina husu " imani" maana havinaga ushahidi.
Tusamehane kama tumekwazana na Mjadala ufungwe.
 
Ukikisoma kile kitabu utatamani ukimbie Afrika.
 
Japokuwa uliyoyaandika huku mwisho ni ya uongo na huwezi kuthibitisha juu ya kutokuwepo kwa ushahidi kwa mambo ya kiimani,na kuendelea kujadili hili hakutakuwa na faida.

Hujanikwaza bila shaka mimi pia sijakukwazwa.

Mjadala nimeufunga rasmi,tujikite kwenye mada.
 
Paula, are you a Tanzanian? I have never physically seen a Tanzanian fond of reading books, other than JF members.
 
Proof of heaven by Eden Alexander, M.D (Neurosurgeon).
Kogut, have you found any actual proof in there? Or it just some man describing his brain's projections when nearing death?

I am considering reading this book out of curiosity.
 
I have the same feeling.

I live in a society where everything is controlled by such beliefs.

I can't get away with but i have doubts in the existence of God and Satan.
 
Thats not a proof.

Gari imetengenezwa na mtu. Ukienda kiwandani unaona watu wanatengeneza magari.

So, where is he now? Physically?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…