Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Umesema kweli kabisa. Watu inaonekana wanapenda habari za uongo na za kutungwa na kupoteza muda.

Yaani kuna watu wameandika vitabu,kila mstari ni elimu na unatakiwa uifanyie kazi.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]unapenda ubishi kama kula.
 
English translation is available, It was originally written in spanish, but lateron translated in different languages. You read it?
No , I tried ila kilinizidi umri akili na umri[emoji13][emoji13]. Nilisikia pia native speakers have trouble to understand it na kwa English inapoteza maana kwenye baadhi ya vitu...wewe umewezaje. Baba yangu alikuwa nacho.
 
No , I tried ila kilinizidi umri akili na umri[emoji13][emoji13]. Nilisikia pia native speakers have trouble to understand it na kwa English inapoteza maana kwenye baadhi ya vitu...wewe umewezaje. Baba yangu alikuwa nacho.
Hahahaaa, kweli kina lugha ngumu. Mimi nakielewa bila shida, huenda labda vocabulary yangu ni pana zaidi, Jaribu kusoma na dictińary pembeni..

Hiki kitabu ni cha zamani sana na kuna baadhi ya matukio yanabishaniwa, lakini bado ni kizuri, kinastaajabisha na kuchekesha sana.

Lakini kina funzo kubwa sana, YOU ULTIMATELY BECOME WHAT YOU READ!
 
Tena unakielewa na kucheka kabisa[emoji13][emoji13]?
Umri wako utakuwa ni 35+[emoji13][emoji13]
 
Superb!!! Hongera sana Hon..
Umeona ilivyo raha kusoma vitabu? Na inaelekea una usomaji mzuri wa hatua kwa hatua ndio maana umeweza kunasa hizo quotes. Keep it up.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] asante hakika nimeshawishika na wewe
 
Kwa nini Sir ya Andy Chande umeiwekea alama?, do you question that knighthood?
 
Kwa nini Sir ya Andy Chande umeiwekea alama?, do you question that knighthood?
Raia wa Tanzania hawapati haki ya kuwa na British Knighthood.

Tanzania tulianza kujenga jamii ya watu sawa. Isiyo na matabaka.

Ndiyo maana Nyerere alipiga marufuku uchifu.

Hivyo, Andy Chande kama Mtanzania, hiyo knighthood yake ni honorary tu.

Si knighthood proper kama ya Sir Seretse Khama.
 
Can i get a soft copy ?
 
Kwa nini kwa Seretse Khama iwe tofauti?
 
Baby Doll, umekisia kwamba naweza kuwa na umri wa miaka 35+...

Mimi nadhani umri hauna uhusiano wa moja kwa moja...

Kulikuwa na mtu anaitwa John Stuart Mill',

This guy was born 1806, by1809 (not 1819)he begun to learn greek.
At age 7 he had read most of the dialogues of Plato.

The next year he begun latin having meanwhile digested Herodotus, Xenophon, Diogenes, Laertius and Lucian.

Between eight and twelve he had finished Virgil, Horace, Livy, Sallust, Ovid, Terrence, Lucretius, Aristotle, Sophocles and Aristophanes. Had mastered Gemetry, Algebra, Differential calculus and written a Roman history, An abridgement of the ancient universal history and history of Holland.

At thirteen he made a complete survey of all there was to be known in the field of political economy.
Kwa hiyo Baby, umri sio kigezo sana muda mwingine.
carbon copy Paula Paul ana Kiranga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…