Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Very interesting subject matter. I will look this up.

Kinanikumbusha "Out of Maos Shadow: The Struggle for the Soul of a New China" na "Prisoner of the State: The Secret Journal of Premier Zhao Ziyang".
 
Nimegundua kuna watu wana umakini kwenye vitu hata vinavyoonekana vidogo kichizi na wanasoma kwa kituo.

Shukurani sana.
 

Namkubali sana Solzhenitysn.
Nimesoma One Day in the Life of Ivan Denisovitch na The First Circle. Kwenye One Day... utacheka jinsi anavyowaponda wasifiaji wa Stalin kwamba wanatamani hata mwezi ubadilishwe jina uitwe Stalin. Kwenye The First Circle kuna sehemu anamnukuu Mayokovisky(mshairi mrusi),
“In an earthly wedding I married
The white rose and the black,
black toad”
Moral: You cannot reconcile the white rose of truth to the black toad of evil.
Very profound in my opinion
Ninayo hard copy ya The Gulag... lakini nilitingwa mpaka hata sijui iko wapi. Asante kwa hizo soft copies mkuu.
 
Hi,
I just finished reading 'Mother Night' By Kurt Vonnegut. Honestly it's the only Vonnegut I actual like. I read Mother Night after having read many other Vonnegut books which were quite enjoyable but Mother Night is pretty unique. I do adore his short story.

One of the favorite quote is " We are what we pretend to be, so we must be careful about what we pretend to be"
Other quotes.
"People should be changed by world wars", I said " else what are world war for".

"Society is mor concerned with material possessions that it's with the true love and compassion of another human being".

" life is divided up into phrases. Each one is very different from others, and you have to be able to recognise what's expected of you in each phase. That's the secret of successful living".

"When you are dead you're dead"
Well, I wanted to share with you those passages that stuck with me after reading.

I highly recommend this book to everybody.
Goodnight / G'day.
 

Attachments

Itakua umeishi nchi wanazoongea hii lugha
 
You too good in English Pau.. Mie siwez ase
Vers sipo good ila angala ni naweza kuomba maji.
Nilichogundua kuhusu wewe English unaijua. Kuandika nyuzi kama zile zako ambazo evidence nyingi lazima uzipate zimeandikwa kwa kingereza ni lazima uwe unajua kingereza kisha uweze kuandika threads bora kama zile za kwako.

Ukipata Muda soma Hii Mother Night. Naamini utakipenda.
 
Kitabu nilichowahi kukisoma na kukipenda sana hata kuweza kukirudia ni kitabu cha mwanasayansi Carl Sagan kiitwacho 'The Demon Haunted World.'

Ni kupitia kitabu hicho nilipogundua kuwa sayansi sio tu mkusanyiko wa kanuni na nadharia bali ni njia ya kuaminika zaidi inayotuwezesha kuuelewa ulimwengu wetu.

Ktabu kingine kilichonivutia ni 'The Adventures and Memoirs of Sherlock Holmes' kilichoandikwa na Sir Arthur Conan Doyle japo sijakimaliza.
 
Sawa naweza kua naweza kusoma na kukielewa ila kuandika na kuongea ni tabu mno kwangu..

Napenda kujisomea ila kusoma ila soft copy hua zanishinda coz nina matatizo ya macho kwenye mwanga muda mrefu
 

Niliifurahia sana hadithi ya Sir Arthur inayoitwa The Hounds of Baskerville.
 
"Pussy is a commodity. Men wouldn't pay for it, if it didn't have value"
Lol, mpaka sasa nashangaa imekuwaje hiki kitabu kikawa miongoni mwa "best sales books". Kina lugha kali sana[emoji4][emoji4].
Kina mambo sana hichi kitabu.
Anasema the pussy is a source of your power weka bei ya juu and don't give it away.
 
Sawa naweza kua naweza kusoma na kukielewa ila kuandika na kuongea ni tabu mno kwangu..

Napenda kujisomea ila kusoma ila soft copy hua zanishinda coz nina matatizo ya macho kwenye mwanga muda mrefu
Kama unakielewa lazima uweze kukiandika. Mazoezi tuu.
Hata mimi sipendi soft copy.
Ungekuwa karibu ningekupatia hii copy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…