GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,134
Kiko vizuri sana hicho kitabu, kikubwa ni kukomaa, Nimekisoma taratibu kila asubuhi kabla ya kazi na jioni mpaka nimemaliza
Umekionaje GUSSIE? Ni kizuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekionaje GUSSIE? Ni kizuri?
Very interesting subject matter. I will look this up.Kwa mwaka huu nimekipenda Out of Gobi: My story of China and America by Weijian Shan. Jamaa maisha yake magumu kwenye China ya Mao na JKT ya China. Kwenda chuo kiajabuajabu na kusoma na kufanya kazi America. Kinachekesha, kinashangaza, huzunisha na kufundisha. Baada ya kukisoma nimekuwa najiuliza iwapo kweli JKTinafanya watu kuwa wazalendo? Pia siyo kupigania elimu kule!!!
Nimegundua kuna watu wana umakini kwenye vitu hata vinavyoonekana vidogo kichizi na wanasoma kwa kituo.Hatimae kwa haraka haraka nimepitia comments zote. Naweza kusema huu ni uzi bora kwangu tangu huu mwaka uanze.
Pongezi nyingi sana ziende kwa mwanzilishi wa hii mada.
Mimi sitaandika kuhusu vitabu ila nitasema niliyojifunza kupitia maoni mbali mbali ya wadau /washiriki katika huu uzi.
Kupitia comments jimejifunza mambo mengi kuhusu vitabu na waandishi wa vitabu na kujua mambo mengi ambayo sikuwahi kujua kama yapo.
1.Nimejua mambo mengi sana kuhusu Nyerere ambayo nilikuwa siyajui.
2. Nimegundua kwamba Tanzania hatupati haki ya kuwa "British Knighthood" kwa sababu Tanzania tulijenga jamii ya watu sawa isiyo na matabaka na hii ndio sababu Nyerere Alipiga marufuku Uchifu.
3.Nimegundua kumbe mwandishi wa rich dad poor dad hakuwa tajiri kabla ya kuandika hiki kitabu kama alivyotuaminisha na kampuni yake ilifilisika.
4.Nimegundua kwamba mwandishi wa The Road Ahead ambaye ni Bill Gates aliweza kutabiri mambo ya, PayPal (internet based currency, software nk 1995, na mpaka sasa utabiri umetimia.
5.Mimi ni Mkristo sikuwahi kujua mambo ya 'beloved disciple'. Na nimegundua pia kuna historia zinasema huyo beloved disciple alikuwa ni mwanamke.
Na nimegundua pia historia zimewahi kujaribu kumhusisha Christ na mambo ya ugay.
6. Mwisho kabisa nimegundua Jf kuna watu smart sana. Kuna watu wana madini ya kutosha hawapati tuu Uzi wa kutoa hayo madini yao.
Na hapo katikati palikuwa na mada chokozi ya Atheism ambayo nilitamani iendelee nijifunze pia ila wachangiaji wa pande mbili zote walikuwa na hasira kupelekea kuogopa kubadili mwelekeo wa mada.
Pongezi zangu za dhati ziende kwa Mjuni Lwambo Kiranga Khan , Paula Paul , Nowonmai na wengine kwa mijadala na uchambuzi mliokuwa mnaufanya.
Bado naendelea kujifunza.
PS. Haimaanishi nimeamini yote, ila nimegundua kwamba kuna ideas kama hizo zina exist.
So many books to read, so little time. I will put aside my Saul Bellow for this now.Maaan, Maaan It's extremely good. Jamaa anajua kusimulia hadi utafurahi. And its shows how much of the world have underestimated the intelligence reach of Uncle Sam. I recommend you read it....
Solzhenitsyn aliandika a masterpiece.
Anakuandikia kuhusu Soviet Union unajiona kama na wewe upo huko vike, usipoangalia unaanza kuogooa kwamba askari wanakufuatilia na wewe.
Ukikisoma kitabu hiki, kuna mambo mengi huwa tunayachukulia poa tu Tanzania, lakini ukiangalia kwenye historia hii, si poa kabisa.
Hitler aliua Wayahudi wengi sana, ika Stalin aliua zaidi kwenye Gulags za Soviet Union.
Poa.Naona umekuja na mavitabu yako ya kiarabu 😝😝😝 watu wanasoma vitavu vya wakristo weweeee
Itakua umeishi nchi wanazoongea hii lughaHi,
I just finished reading 'Mother Night' By Kurt Vonnegut. Honestly it's the only Vonnegut I actual like. I read Mother Night after having read many other Vonnegut books which were quite enjoyable but Mother Night is pretty unique. I do adore his short story.
One of the favorite quote is " We are what we pretend to be, so we must be careful about what we pretend to be"
Other quotes.
"People should be changed by world wars", I said " else what are world war for".
"Society is mor concerned with material possessions that it's with the true love and compassion of another human being".
" life is divided up into phrases. Each one is very different from others, and you have to be able to recognise what's expected of you in each phase. That's the secret of successful living".
"When you are dead you're dead"
Well, I wanted to share with you those passages that stuck with me after reading.
I highly recommend this book to everybody.
Goodnight / G'day.
Kwa sababu gani Vers?Itakua umeishi nchi wanazoongea hii lugha
You too good in English Pau.. Mie siwez aseKwa sababu gani Vers?
Vers sipo good ila angala ni naweza kuomba maji.You too good in English Pau.. Mie siwez ase
Sawa naweza kua naweza kusoma na kukielewa ila kuandika na kuongea ni tabu mno kwangu..Vers sipo good ila angala ni naweza kuomba maji.
Nilichogundua kuhusu wewe English unaijua. Kuandika nyuzi kama zile zako ambazo evidence nyingi lazima uzipate zimeandikwa kwa kingereza ni lazima uwe unajua kingereza kisha uweze kuandika threads bora kama zile za kwako.
Ukipata Muda soma Hii Mother Night. Naamini utakipenda.
Kitabu nilichowahi kukisoma na kukipenda sana hata kuweza kukirudia ni kitabu cha mwanasayansi Carl Sagan kiitwacho 'The Demon Haunted World.'
Ni kupitia kitabu hicho nilipogundua kuwa sayansi sio tu mkusanyiko wa kanuni na nadharia bali ni njia ya kuaminika zaidi inayotuwezesha kuuelewa ulimwengu wetu.
Ktabu kingine kilichonivutia ni 'The Adventures and Memoirs of Sherlock Holmes' kilichoandikwa na Sir Arthur Conan Doyle japo sijakimaliza.
Kina mambo sana hichi kitabu."Pussy is a commodity. Men wouldn't pay for it, if it didn't have value"
Lol, mpaka sasa nashangaa imekuwaje hiki kitabu kikawa miongoni mwa "best sales books". Kina lugha kali sana[emoji4][emoji4].
Kama unakielewa lazima uweze kukiandika. Mazoezi tuu.Sawa naweza kua naweza kusoma na kukielewa ila kuandika na kuongea ni tabu mno kwangu..
Napenda kujisomea ila kusoma ila soft copy hua zanishinda coz nina matatizo ya macho kwenye mwanga muda mrefu
Let be on touch you won't know Pau..Kama unakielewa lazima uweze kukiandika. Mazoezi tuu.
Hata mimi sipendi soft copy.
Ungekuwa karibu ningekupatia hii copy.
"Don't give blow jobs till you have a title".Kina mambo sana hichi kitabu.
Anasema the pussy is a source of your power weka bei ya juu and don't give it away.View attachment 1271233
Yah,let's keep in touch Vers.Let be on touch you won't know Pau..