Yes mami hata muhusika mkuu kwenye kitabu hiki Frank nae yumo.. alicheza kipande anamkamata Frank wa kwenye muvi hiiUmewahi kuwatch movie yenye hili jina?
Story yake ni same ya hiyo kwenye kitabu?
Sikumbuki vizuri niliiangalia nikiwa safarini. Ila umenishawishi niinunue.Yes mami hata muhusika mkuu kwenye kitabu hiki Frank nae yumo.. alicheza kipande anamkamata Frank wa kwenye muvi hii
When you're at Venice your socks get wet..
Mazingira ya pale Venice si kuna maji so zile hotel zipo karibu na maji kuna muda maji yanaingia ndani..so ukiwa Venice Soksi zitalowana..Hii ina maana gani Mkwe?
Itafute uiangalie vizuri..Sikumbuki vizuri niliiangalia nikiwa safarini. Ila umenishawishi niinunue.
Wewe inabidi tukupe "War and Peace".Mkapa anajua watu wengi hatupendi kusoma. Na tukinunua kitabu kitu cha kwanza ni kuangalia zipo page ngapi.
Page 260 sio nyingi? Jumlisha kiwe na mwandiko fulani hivi uliobanana banana. Halafu page imeandikwa kwanzia juu hadi chini mwisho kabisa?. Halafu unatamani ziwe page 500? Unapenda kusoma sana Kiranga.
War and peace
War and Peace nimekisoma. Na kilinilia miezi kama 7 kukimaliza.Wewe inabidi tukupe "War and Peace".
Page 260 mbona unapigia mswaki tu kabla hujaanza siku?
Hapana sijasoma wala ku-watch movi yake. Is it worth the effort?Itafute uiangalie vizuri..
Umesoma Novel ya V for Vandetta au kuona muvi yake
Nilihisi kuna kaujumbe kamefichwa ndani yake. Niliwaza ...[emoji4][emoji4][emoji4]Mazingira ya pale Venice si kuna maji so zile hotel zipo karibu na maji kuna muda maji yanaingia ndani..so ukiwa Venice Soksi zitalowana..
Kiasi chake sema si unajua uzuri wa kitu upo machoni kwa mtu.Hapana sijasoma wala ku-watch movi yake. Is it worth the effort?
No siwezi fanya ivo. Ningekuambia directly though ina ujumbe pia kutegemea na muktadhaNilihisi kuna kaujumbe kamefichwa ndani yake. Niliwaza ...[emoji4][emoji4][emoji4]
Kuna kitu bana ukikisoma unaona kabisa ni kizuri au kibaya kwa kila mtu.Kiasi chake sema si unajua uzuri wa kitu upo machoni kwa mtu.
Ngoja nikutag somewhere
Jaribu kama utaipenda mkweKuna kitu bana ukikisoma unaona kabisa ni kizuri au kibaya kwa kila mtu.
Sawa ngoja nifuate.
War and Peace nimekisoma. Na kilinilia miezi kama 7 kukimaliza.
Mi page 2000 kasoro[emoji4][emoji4].
Wewe najua ilikuchukua wiki kadhaa tuu.
Hicho kitabu, war and peace, kipo Nyumbani sijagusa hata page moja.
Nimesoma Anna Karenina kwa tabu sana. Na this week nimemaliza kusoma Jack Reacher: the affairs.
My next project ni kitabu cha Frederick Forsyth: the dogs of war.
Sasa ulivyomaliza Anna Karenina ungetakiwa ufuatie War and Peace acha woga Noel. Au go for Audio book.
Hivi viwili ulivyo vitaja bado sijavisoma, ni vizuri?
War and Peace kile kitabu kikubwa sana aisee. Ila nimeangalia movie yake juzi juzi tu hapa.
Hiyo Jack Reacher: the affairs ni kizuri kama unapenda action na mambo ya kijeshi. The Dogs of Wars sijakisoma bado, ila nimesoma vitabu kama vitatu vya Frederick Forsyth, yuko vizuri. Nimesoma “ the days of the Jackal” na “ the Odessa file” ni vitabu vizuri. Vipo
Detailed.
Hiyo movie ni single movie? Au series?.
Huyu mwandishi Frederick Forsyth sijawahi kumsoma kabisa. Nimejaribu kumfuatilia nimeona ni spy, journalist na occasional political commentator. Nahisi vitabu vyake vinaweza kuwa ni vya "crime and investigation" hivi.
Nikimaliza ninachokisoma nitamjaribu.