Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
- #1,101
I got you Noel.Hiyo movie ni single movie. Huyu Frederick Forsyth vitabu vyake vingi ni kuhusu war and political plots. Ni zile fiction zinaelekeana na ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I got you Noel.Hiyo movie ni single movie. Huyu Frederick Forsyth vitabu vyake vingi ni kuhusu war and political plots. Ni zile fiction zinaelekeana na ukweli.
Hicho kitabu, war and peace, kipo Nyumbani sijagusa hata page moja.
Nimesoma Anna Karenina kwa tabu sana. Na this week nimemaliza kusoma Jack Reacher: the affairs.
My next project ni kitabu cha Frederick Forsyth: the dogs of war.
Frederick Forsyth nimesoma vitabu vyake in the late 1980s and early 1990s. Mshua alikuwa anavipenda na mimi nikawa nasoma baada ya ku graduate from James Hadley ChaseHiyo movie ni single movie? Au series?.
Huyu mwandishi Frederick Forsyth sijawahi kumsoma kabisa. Nimejaribu kumfuatilia nimeona ni spy, journalist na occasional political commentator. Nahisi vitabu vyake vinaweza kuwa ni vya "crime and investigation" hivi.
Nikimaliza ninachokisoma nitamjaribu.
Nowonmai, happy new year!Fredrick Forsyth ni mwandishi mzuri anayeandika mambo yanayotokea katika ngazi za juu za jamii kwa mtindo wa riwaya akiongezea ubunifu na uzoefu wake kama mwandishi wa habari za vita.
Vitabu vyake vinafungua macho sana kwa masuala mengi tu kama kama jinsi ambavyo kampuni kubwa za kuchimba madini zinavyo manipulate serikali za nchi masikini(Dogs of War), magenge ya ujambazi yanayozuka baada ya vita(The Odessa File), operesheni ndani ya vyombo vya usalama na ujasusi katika mataifa makubwa(The Fourth Protocol, The Negotiator) na pia uibukaji na operesheni za vikundi vya ugaidi na namna ya kupambana navyo(The Day of the Jackal, The Devil’s Alternative).
Nakutakia usomaji mwema mkuu.
Umemaliza vya James Hadley Chase vyote? Hongera sana.Frederick Forsyth nimesoma vitabu vyake in the kate 1980s and early 1990s. Mshua alikuwa anavioenda na mimi nikawa nasoma baada ya ku graduate from James Hadley Chase
Kuna vitabu vyake vimetengenezwa movies kama "The Day of The Jackal" cha kuhusu ujasusi wa kutaka kumuua rais wa Ufaransa, na "The Odessa File" cha msako wa ex Nazi uliifanywa na muandishi wa habari mmoja.
Very interesting plots and twists if you are into that espionage/ Jason Bourne stuff
Sent using Jamii Forums mobile app
Fredrick Forsyth ni mwandishi mzuri anayeandika mambo yanayotokea katika ngazi za juu za jamii kwa mtindo wa riwaya akiongezea ubunifu na uzoefu wake kama mwandishi wa habari za vita.
Vitabu vyake vinafungua macho sana kwa masuala mengi tu kama kama jinsi ambavyo kampuni kubwa za kuchimba madini zinavyo manipulate serikali za nchi masikini(Dogs of War), magenge ya ujambazi yanayozuka baada ya vita(The Odessa File), operesheni ndani ya vyombo vya usalama na ujasusi katika mataifa makubwa(The Fourth Protocol, The Negotiator) na pia uibukaji na operesheni za vikundi vya ugaidi na namna ya kupambana navyo(The Day of the Jackal, The Devil’s Alternative).
Nakutakia usomaji mwema mkuu.
Nowonmai, happy new year!
Nikitaka kuanza kumsoma Fredrick Forsyth, unanipendekezea kitabu gani nianze nacho.
Ambacho kitanifanya nipende kumsoma zaidi.
Last week I finished ex President Mkapa's Memoirs "My Life, My Purpose: A Tanzanian President Remembers".
It is a mishmash of bold truths, plausible deniability and massive omissions.
I also finished Obama's UN Ambassadors, (Samantha Power, Pulitzer Non-Fiction 2003 fir "A Problem From Hell") memoirs " The Education of An Idealist: A Memoir". A fascinating all too human account of how a critic is given the helm and faces realpolitik.
I finally got around to finishing Stephen Kotkin's first volume of his Stalin Biography "Stalin: Volume I Paradoxes of Power 1878- 1928". A very detailed account of not only Stalin's life, but also the larger context of the history of Russia, Bolshevism, Menshevism the revolution, major figures such as Trotsky et al and communism in general.
Reading Kotkin feels like sitting in one if his Princeton classes. But the book is long, and vilume II is even longer. But that's just how I like it.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Nowonmai.Happy new year Paula.
Napendekeza uanze na kitabu chake kinachoitwa The Shepherd.
Najua utapenda kusoma vitabu vyake vyote.
Mwenye softcopies za hivi vitabu vya "Napoleon Hill" naomba aviweke.
1.You can work on your own miracles.
2.Succed and grow rich.
3.The master key to riches.
4.How to raise your salary.
5.Do it now.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa offline nisamehe kwa kushindwa kutimiza hii ahadi mkuu.
Nina imani unaendelea vizuri na usomaji.
Sent using Jamii Forums mobile ap
amnashida mkuu, naenedelea vizuri najitahidi kwa kiasi chake cos toka tuachane mwaka jana Mungu amesaidia nimemaliza kitabu kimoja the subtle act of not giving https://jamii.app/JFUserGuide, nikitabu kizuri kimebadilsha mtazamo wangu kuhusu maisha yangu mwenyewe najinsi yakutofuatilia mambo ya watu wengine na kuishi maisha ya furaha .
zaizi nasoma kitabu cha think and grow rich na kifurahiha, pia natanguza shukura kwa member wote wa JF wanaosoma vitabu wamesababisha niwe mingoni mwa watu wano furahia kusoma vitabu. Mwaka huu nataka nisome vitabu 10 mwaka uliopita nimesoma vitabu 4 kwa msaada wa member wa JF
Pia nakushukuru baby doll kwa kunifanikisha kusoma kitabu cha mwisho 2019 nilikata tamaa baada ya kuona siewe kitabu cha the richest man in babilon, nikimaliza hiki naomba tusome kwa pamoja kitabu hiki cos wametumia lugha ngumu napata shida kuelewa
amna shida mkuu, naenedelea vizuri najitahidi kwa kiasi chake cos toka tuachane mwaka jana Mungu amesaidia nimemaliza kitabu kimoja the subtle act of not giving https://jamii.app/JFUserGuide, nikitabu kizuri kimebadilsha mtazamo wangu kuhusu maisha yangu mwenyewe najinsi yakutofuatilia mambo ya watu wengine na kuishi maisha ya furaha .Nilikuwa offline nisamehe kwa kushindwa kutimiza hii ahadi mkuu.
Nina imani unaendelea vizuri na usomaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
sio umri mkuu me naona lini umeanza kusoma vitabu, kwaupande wangu mimi nimeanza ukusoma mwaka jana katika maisha yote ila umri wangu sio habaSaid Hongera sana.
Nilivyosoma list ya vitabu ulivyo orodhesha niliwaza "inawezekanaje Said 2019 ndio anasoma hivi vitabu". Nikagundua kwamba humu tunatofautiana umri.
Hongera sana Said, mwaka huu una malengo ya kusoma vipi?
Angeandika hata page 1000.Hahaaa, Mkapa kaniudhi, anasema hakutaka kuandika kitabu kikubwa achoshe watu.
Wakati mimi vitabu vikubwa ndiyo napenda, naona vinazama kuelezea zaidi.
Kitabu chake si kikubwa, ni kama page 260 hivi, I am just over page 200.
You can read that in a weekend.
Page chache zinamfanya asifunguke mambo mengi na aweke summary tu.Mkapa anajua watu wengi hatupendi kusoma. Na tukinunua kitabu kitu cha kwanza ni kuangalia zipo page ngapi.
Page 260 sio nyingi? Jumlisha kiwe na mwandiko fulani hivi uliobanana banana. Halafu page imeandikwa kwanzia juu hadi chini mwisho kabisa?. Halafu unatamani ziwe page 500? Unapenda kusoma sana Kiranga.
Mkapa hiki kitabu kakiandika kwa woga, ujanjaujanja na uongo wa mapengo.