Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Hicho kitabu, war and peace, kipo Nyumbani sijagusa hata page moja.

Nimesoma Anna Karenina kwa tabu sana. Na this week nimemaliza kusoma Jack Reacher: the affairs.

My next project ni kitabu cha Frederick Forsyth: the dogs of war.

Fredrick Forsyth ni mwandishi mzuri anayeandika mambo yanayotokea katika ngazi za juu za jamii kwa mtindo wa riwaya akiongezea ubunifu na uzoefu wake kama mwandishi wa habari za vita.
Vitabu vyake vinafungua macho sana kwa masuala mengi tu kama kama jinsi ambavyo kampuni kubwa za kuchimba madini zinavyo manipulate serikali za nchi masikini(Dogs of War), magenge ya ujambazi yanayozuka baada ya vita(The Odessa File), operesheni ndani ya vyombo vya usalama na ujasusi katika mataifa makubwa(The Fourth Protocol, The Negotiator) na pia uibukaji na operesheni za vikundi vya ugaidi na namna ya kupambana navyo(The Day of the Jackal, The Devil’s Alternative).
Nakutakia usomaji mwema mkuu.
 
Hiyo movie ni single movie? Au series?.

Huyu mwandishi Frederick Forsyth sijawahi kumsoma kabisa. Nimejaribu kumfuatilia nimeona ni spy, journalist na occasional political commentator. Nahisi vitabu vyake vinaweza kuwa ni vya "crime and investigation" hivi.
Nikimaliza ninachokisoma nitamjaribu.
Frederick Forsyth nimesoma vitabu vyake in the late 1980s and early 1990s. Mshua alikuwa anavipenda na mimi nikawa nasoma baada ya ku graduate from James Hadley Chase

Kuna vitabu vyake vimetengenezwa movies kama "The Day of The Jackal" cha kuhusu ujasusi wa kutaka kumuua rais wa Ufaransa, na "The Odessa File" cha msako wa ex Nazi uliifanywa na muandishi wa habari mmoja.

Very interesting plots and twists if you are into that espionage/ Jason Bourne stuff

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last week I finished ex President Mkapa's Memoirs "My Life, My Purpose: A Tanzanian President Remembers".

It is a mishmash of bold truths, plausible deniability and massive omissions.

I also finished Obama's UN Ambassadors, (Samantha Power, Pulitzer Non-Fiction 2003 fir "A Problem From Hell") memoirs " The Education of An Idealist: A Memoir". A fascinating all too human account of how a critic is given the helm and faces realpolitik.

I finally got around to finishing Stephen Kotkin's first volume of his Stalin Biography "Stalin: Volume I Paradoxes of Power 1878- 1928". A very detailed account of not only Stalin's life, but also the larger context of the history of Russia, Bolshevism, Menshevism the revolution, major figures such as Trotsky et al and communism in general.

Reading Kotkin feels like sitting in one if his Princeton classes. But the book is long, and vilume II is even longer. But that's just how I like it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pep Guardiola: Another way of winning – Author: Guillem Balague

Pep Confidential: Inside Guardiola’s First Season at Bayern Munich – Author: Marti Perarnau

Barca: The Making of the Greatest Team in the World – Author: Graham Hunter

Up close and personal - Jose Mourinho

Totally Frank - Frank Lampard

Neil Patel : Hustle - The power to change your life with money, meaning and momentum

Scot Adams - How to fail at almost everything and still win big

The special one - The dark side of Jose Mourinho

Sjaweka The Holly Bible, for me that is more of a word of God than a book, you know

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fredrick Forsyth ni mwandishi mzuri anayeandika mambo yanayotokea katika ngazi za juu za jamii kwa mtindo wa riwaya akiongezea ubunifu na uzoefu wake kama mwandishi wa habari za vita.
Vitabu vyake vinafungua macho sana kwa masuala mengi tu kama kama jinsi ambavyo kampuni kubwa za kuchimba madini zinavyo manipulate serikali za nchi masikini(Dogs of War), magenge ya ujambazi yanayozuka baada ya vita(The Odessa File), operesheni ndani ya vyombo vya usalama na ujasusi katika mataifa makubwa(The Fourth Protocol, The Negotiator) na pia uibukaji na operesheni za vikundi vya ugaidi na namna ya kupambana navyo(The Day of the Jackal, The Devil’s Alternative).
Nakutakia usomaji mwema mkuu.
Nowonmai, happy new year!
Nikitaka kuanza kumsoma Fredrick Forsyth, unanipendekezea kitabu gani nianze nacho.
Ambacho kitanifanya nipende kumsoma zaidi.
 
Frederick Forsyth nimesoma vitabu vyake in the kate 1980s and early 1990s. Mshua alikuwa anavioenda na mimi nikawa nasoma baada ya ku graduate from James Hadley Chase

Kuna vitabu vyake vimetengenezwa movies kama "The Day of The Jackal" cha kuhusu ujasusi wa kutaka kumuua rais wa Ufaransa, na "The Odessa File" cha msako wa ex Nazi uliifanywa na muandishi wa habari mmoja.

Very interesting plots and twists if you are into that espionage/ Jason Bourne stuff

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza vya James Hadley Chase vyote? Hongera sana.

Kuhusu huyu Forsyth,Mnanishawishi.
Sijui nilikuwa nashangaa shangaa wapi siku zote hizo sijasoma.
 
Fredrick Forsyth ni mwandishi mzuri anayeandika mambo yanayotokea katika ngazi za juu za jamii kwa mtindo wa riwaya akiongezea ubunifu na uzoefu wake kama mwandishi wa habari za vita.
Vitabu vyake vinafungua macho sana kwa masuala mengi tu kama kama jinsi ambavyo kampuni kubwa za kuchimba madini zinavyo manipulate serikali za nchi masikini(Dogs of War), magenge ya ujambazi yanayozuka baada ya vita(The Odessa File), operesheni ndani ya vyombo vya usalama na ujasusi katika mataifa makubwa(The Fourth Protocol, The Negotiator) na pia uibukaji na operesheni za vikundi vya ugaidi na namna ya kupambana navyo(The Day of the Jackal, The Devil’s Alternative).
Nakutakia usomaji mwema mkuu.

Shukrani mkuu, ndio nipo page ya 13 hapa, naenda mdogo mdogo.
 
Nowonmai, happy new year!
Nikitaka kuanza kumsoma Fredrick Forsyth, unanipendekezea kitabu gani nianze nacho.
Ambacho kitanifanya nipende kumsoma zaidi.

Happy new year Paula.
Napendekeza uanze na kitabu chake kinachoitwa The Shepherd.
Najua utapenda kusoma vitabu vyake vyote.
 
Last week I finished ex President Mkapa's Memoirs "My Life, My Purpose: A Tanzanian President Remembers".

It is a mishmash of bold truths, plausible deniability and massive omissions.

I also finished Obama's UN Ambassadors, (Samantha Power, Pulitzer Non-Fiction 2003 fir "A Problem From Hell") memoirs " The Education of An Idealist: A Memoir". A fascinating all too human account of how a critic is given the helm and faces realpolitik.

I finally got around to finishing Stephen Kotkin's first volume of his Stalin Biography "Stalin: Volume I Paradoxes of Power 1878- 1928". A very detailed account of not only Stalin's life, but also the larger context of the history of Russia, Bolshevism, Menshevism the revolution, major figures such as Trotsky et al and communism in general.

Reading Kotkin feels like sitting in one if his Princeton classes. But the book is long, and vilume II is even longer. But that's just how I like it.

Sent using Jamii Forums mobile app

Heshima kwako mkuu Kiranga.
You are a true reader.
 
Nilikuwa offline nisamehe kwa kushindwa kutimiza hii ahadi mkuu.
Nina imani unaendelea vizuri na usomaji.

Sent using Jamii Forums mobile ap
amnashida mkuu, naenedelea vizuri najitahidi kwa kiasi chake cos toka tuachane mwaka jana Mungu amesaidia nimemaliza kitabu kimoja the subtle act of not giving https://jamii.app/JFUserGuide, nikitabu kizuri kimebadilsha mtazamo wangu kuhusu maisha yangu mwenyewe najinsi yakutofuatilia mambo ya watu wengine na kuishi maisha ya furaha .
zaizi nasoma kitabu cha think and grow rich na kifurahiha, pia natanguza shukura kwa member wote wa JF wanaosoma vitabu wamesababisha niwe mingoni mwa watu wano furahia kusoma vitabu. Mwaka huu nataka nisome vitabu 10 mwaka uliopita nimesoma vitabu 4 kwa msaada wa member wa JF
Pia nakushukuru baby doll kwa kunifanikisha kusoma kitabu cha mwisho 2019 nilikata tamaa baada ya kuona siewe kitabu cha the richest man in babilon, nikimaliza hiki naomba tusome kwa pamoja kitabu hiki cos wametumia lugha ngumu napata shida kuelewa
 
Nilikuwa offline nisamehe kwa kushindwa kutimiza hii ahadi mkuu.
Nina imani unaendelea vizuri na usomaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
amna shida mkuu, naenedelea vizuri najitahidi kwa kiasi chake cos toka tuachane mwaka jana Mungu amesaidia nimemaliza kitabu kimoja the subtle act of not giving https://jamii.app/JFUserGuide, nikitabu kizuri kimebadilsha mtazamo wangu kuhusu maisha yangu mwenyewe najinsi yakutofuatilia mambo ya watu wengine na kuishi maisha ya furaha .
zaizi nasoma kitabu cha think and grow rich na kifurahiha, pia natanguza shukura kwa member wote wa JF wanaosoma vitabu wamesababisha niwe mingoni mwa watu wano furahia kusoma vitabu. Mwaka huu nataka nisome vitabu 10 mwaka uliopita nimesoma vitabu 4 kwa msaada wa member wa JF
Pia nakushukuru baby doll kwa kunifanikisha kusoma kitabu cha mwisho 2019 nilikata tamaa baada ya kuona siewe kitabu cha the richest man in babilon, nikimaliza hiki naomba tusome kwa pamoja kitabu hiki cos wametumia lugha ngumu napata shida kuelewa
 
Said Hongera sana.

Nilivyosoma list ya vitabu ulivyo orodhesha niliwaza "inawezekanaje Said 2019 ndio anasoma hivi vitabu". Nikagundua kwamba humu tunatofautiana umri.

Hongera sana Said, mwaka huu una malengo ya kusoma vipi?
sio umri mkuu me naona lini umeanza kusoma vitabu, kwaupande wangu mimi nimeanza ukusoma mwaka jana katika maisha yote ila umri wangu sio haba
 
Hahaaa, Mkapa kaniudhi, anasema hakutaka kuandika kitabu kikubwa achoshe watu.

Wakati mimi vitabu vikubwa ndiyo napenda, naona vinazama kuelezea zaidi.

Kitabu chake si kikubwa, ni kama page 260 hivi, I am just over page 200.

You can read that in a weekend.
Angeandika hata page 1000.

Angefunguka mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkapa anajua watu wengi hatupendi kusoma. Na tukinunua kitabu kitu cha kwanza ni kuangalia zipo page ngapi.

Page 260 sio nyingi? Jumlisha kiwe na mwandiko fulani hivi uliobanana banana. Halafu page imeandikwa kwanzia juu hadi chini mwisho kabisa?. Halafu unatamani ziwe page 500? Unapenda kusoma sana Kiranga.
Page chache zinamfanya asifunguke mambo mengi na aweke summary tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angeandika hata page 1000.

Angefunguka mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkapa hiki kitabu kakiandika kwa woga, ujanjaujanja na uongo wa mapengo.

Hakutaka kufunguka kwa "ukweli na uwazi" kama anavyojitapa. Ndiyo maana kaandika kitabu kifupi. The main text is about 260 pages with added facts, figures, Azimio la Arusha excerpts etc that stretches it to about 320 pages.

Nimekisoma kitabu baada ya kusoma kitabu cha Samantha Power. Granted, Power simjui kama ninavyomjua Mkapa. I grew up with the Mkapas in Upanga. Ndiyo maana namjua Mkapa mpaka maongezi ya dinner table kwake na jinsi anavyokataza watoto kunywa maji mpaka wamalize kula kwanza. Mchizi wangu alikuwa ananilalamikia " Mshua noma sana, tukila anakataza kunywa maji. Anasema hakuna mtu kunywa maji mpaka umalize kula".

Lakini, ukimsoma Samantha Power unaona alivyokuwa open kuhusu maisha yake. Vulnerably so. Mkapa katupa hadithi nzuri ya maisha yake, ukweli kauficha.

Ujue unavyoandika zaidi, unafunguka zaidi. Ndiyo maana Mkapa kaandika kifupi sana.

Nakumbuka kwenda party moja ya kwa Mkapa, ali mu introduce Peter kama mwanaye ambaye anajivunia sana. Peter ni mtoto wa kufikia wa Mkapa, kwa Mama Anna na Basil Mramba.

Basi ungekuwepo kwenye hiyo party ungeona kwamba Mkapa anampenda Peter kuliko hata hao wanawe wa kibaiolojia kina Nico na Stephan.

Nimekuja kusoma kitabu, nakuta Peter kawa deleted kabisa. Hakutajwa hata sehemu moja. Katika watoto wanatajwa Nico na Stephan tu, kama Peter si mtoto wa nyumba ya Mkapa. Ukisoma kitabu bila kuijua familia, utafikiri Mkapa alimkuta Mama Anna bila mtoto. One can argue that this is a professional memoir with less emphasis on family, but then, if so, why mention Nico and Stephan?

Nikasononeka sana kwa unyanyapaa huu.

Sasa huo ni mfano mdogo tu wa maneno yaliyoachwa kuandikwa katika kitabu hicho ambayo watu wasioijua familia ya Mkapa kwa karibu hawatayajua.

Lakini wengine tunaojua ya ndani zaidi tumesoma kitabu tukaona hapa kaacha kusema hiki, hapa kaacha kile.

Mfano, Mkapa alikuwa na nafasi nzuri ya kuwa role model katika ndoa changa na za zamani zenye matatizo ambazo zinayakabili matatizo na kuyashinda.

Kuelekea uchaguzi wa 1995, familia ya Mkapa ilikuwa inasambaratika. Mama alikuwa amechoka ubabe wa mzee. Talaka ilikuwa inanukia (ingawa Mkapa alisema Wakatoliki talaka mpaka idhini ya Papa, na yeye alikuwa radhi kuishi sehemu tofauti na Mama Anna lakini hakuwa tayari kumtaliki). Msaada pekee ukawa Nyerere. Akamwambia Mkapa wewe unaenda kuongoza nchi, sitaki kusikia maneno ya talaka wala kuachana, mtakaa chini, mtazungumza, mtamaliza tofauti zenu na mkeo.

Wakakaa chini, wakazungumza, wakamaliza tofauti. Nyerere ndiye aliyewasuluhisha. Haya ni maneno ya kutoka kwa wanafamilia wenyewe.

Ukisoma kitabu utafikiri wamekuwa kwenye ndoa ya furaha mwanzo mwisho. Huo ni uongo by omission.

Ningemsamehe zaidi kama asingejinadi kwa ukweli na uwazi.

Huyu ndiye baba wa "Ukweli na Uwazi".

Sasa sisi wasela tusemeje?

Hapo nimegusia familia tu, ambako hakuna kesi. Ukienda zaidi unakuta kitabu kinaacha maswali mengi zaidi ya majibu. Yani kaandika mambo kirahisi rahisi sana kama wote wajinga na hatujui kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom