Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?


Nilisoma "story za vijiweni" kwamba Mkapa hana mtoto kabisa wa yeye kumzaa. Kumbe ni za uzushi.
 
Nilisoma "story za vijiweni" kwamba Mkapa hana mtoto kabisa wa yeye kumzaa. Kumbe ni za uzushi.
Ujue hata uzushi nao una maana yake. Mtu wa familia wa kujimwayamwaya na wanawe si rahisi kumzushia hana mtoto.

Mtu kama Alhaji Sheikh Ali Hassan Mwinyi unaanzaje kumzushia hana mtoto? Maana mzee anawatoto wengine utafikiri wajukuu wake. Wakisimama mtoto wa kwanza na wa mwisho unaweza kusema huyo wa kwanza ni mazazi wa huyo wa mwisho. Katimiza yale maandiko ya "zaeni mkaijaze dunia".

Mkapa alikuwa yuko kikazi zaidi 🙂
 
Siku zote niliishi nikiamini haakuwa na mtoto jamani. Basi wanasema alikuwa anafanya kazi nje sijui nchi gani basi boss ambaye ni mtu mkubwa serekalini huko nchi ya nje akaona Mkapa atatembea na mke wake hivyo akamfanyia dawa asiwe na uwezo wa kushiriki tendo.
Lol[emoji4][emoji4]

Mwinyi nae sijawahi kusikia kuhusu watoto wake, tofauti na Kikwete nimemsikia Ridhiwan na Magufuli nimemsikia Jesca.
 
Inawezekana ulikuwa mdogo kipindi cha Mwinyi. Mwinyi mbona mwanawe mmoja ni Waziri wa Ulinzi Dr. Hussein Mwinyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee unasoma unaona kabisa hapa pameandikwa na mtu mwenye uelewa na upeo mpana sana, mkuu Kiranga heshima yako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paula Paul Basi juzi kati nikasema nisome The hitchhiker's guide to the galaxy, nimecheka sana. Kipindi fulani nilicheki movie yake nikaona mbovu, kumbe kitabu chake kizuri. Kama namuona Marvin 'akiona' anazinguliwa, eti, He called to Marvin, who crawled up the slope making a big show of being lame, which he wasn’t.

Nilicheka huyu Vogon anavyorahisisha mambo.
“What do you mean, you’ve never been to Alpha Centauri? For heaven’s sake, mankind, it’s only four light-years away, you know. I’m sorry, but if you can’t be bothered to take an interest in local affairs that’s your own lookout.
“Energize the demolition beams.”
Nimemaliza kusoma The journey of man_A genetic odyssey cha Spencer Wells. Kinaangalia genetic diversities kwa watu duniani na kupitia hiyo, kujaribu kuangalia namna walisambaa. Kinaelezea uzuri sana jinsi binadamu alivyotoka Africa na kusambaa dunia yote. Ni kizuri sana.

 
Hitchhiker's is a classic.

Hicho Journey of Man sounds very interesting.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiko kitabu sijajisumbua kukinunua wala kukisoma.

Binafsi simpemdi kabisa Mkapa wala Magufuli.

Ila sera za Mkapa nilizipenda kidogo baada ya kuzisoma.

Hiko kitabu nina uhakika 100% atataja only 5% ya ukweli ambao angetakiwa kuusema.

Sikuona umuhimu wa kuhangaika nacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu ilikuwa muhimu kukisoma, hata kama ni kusoma kwa kuangalia kipi hajaandika na kipi kaandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umekimaliza Red Giant?
Hiki cha The Journey of A Man... Sijawahi kukisoma. Itabidi nikitafute.
 
Mkwe naomba hivi vitabu tafadhali..
  • A Game of Thrones (1996)
  • A Clash of Kings (1998)
  • A Storm of Swords (2000)
  • A Feast for Crows (2005)
  • A Dance with Dragons (2011)
Hizi ni series za ASOIAF (A Song of Ice and Fire).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…