Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bill Gates made many predictions in this book, most of which come true.
He believed back then that
"All manner of human activity will take place on the network.....and many transactions will involve money, tendered in digital form rather than currency. Digital information of all kinds, not just as money, will be the medium of exchange in this market.''

He had ideas about digital currency back in 1995. Such prophecy.
I love your language madame

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi guys,
The Great Gatsby by F. Scott Fitzgerald.

My young brother hated this book as he was forced to read it in high school literature classes.

I decided to read Gatsby after avoiding it due to its reputation when being forced on students (it tought in various high school classes)

Aw I just finished and I loved it, the writing style is beautiful.
It is the one of the best commentaries on the "American dream" ever written.
You see, Fitzgerald does a remarkable job of saying things that most people feel but can't put into words. It's very very teachable book.

Lastly, What I absolutely love about Fitzgerald is his dialogues .
20200220_033225.jpeg

Good night/day bookworms.
 
View attachment 1363955

Good night/day bookworms.
I'm going for it soon.
 
Bill Gates made many predictions in this book, most of which come true.
He believed back then that
"All manner of human activity will take place on the network.....and many transactions will involve money, tendered in digital form rather than currency. Digital information of all kinds, not just as money, will be the medium of exchange in this market.''

He had ideas about digital currency back in 1995. Such prophecy.
Isn't a prophecy at all.
Do you know about 'Infinite Monkey Theorem'?
 
Lol[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4].
Unaonekana ulikisoma mstari kwa mstari.
Mimi nilikisoma kidogo nikaona huu ni ujinga pussy can never be my most powerful weapon. I have more to offer than Pussy.

Anasema kama mwanaume hafikii bei ni bora tutumie sex toys[emoji4][emoji4][emoji4].
Ila kuna point, kuna wadada ambao wanajirahisisha sana, wanagawa pussy kwa watu wa hovyo ambao bado hawawaoi. Kwahiyo Kara anashauri tuu wasiwe cheap. Na nadhani kuna mahali anatukumbusha kwamba we don't have to give everything away to a man who is giving you shit in return. Tujifunze kwa mwanaume tunaompenda na tusimpe mpaka tupate tunachokitaka, nadhani alimaanisha title.

Lakini vipi Pussy haina nguvu kwako? Haiku control?
Kama una dem mmoja ndo inakua shida..ila pia mwanaume ukiwa smart na mstaarabu kuna hawa wamama wakubwa wanakupa tu just upo smart na wanapenda sex..wamama wana siri nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ametuambia "flip the switch in your female brain, so you can beat men at their own game" ili tu "become the type of woman that commands respect from men".

Kuna hicho Why Men Love Bitches itabidi nikipata muda nikisome na mimi nijue mbinu zenu.
Ni kwamba kinafundisha kwann wanaume wanavutiwa na ma bitches..mkiolewa mnajisahau sana mnakua kama ma pastor huko ndani kitu ambacho wanaume hawapendi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rich dad poor dad will remain to be one of best books ever
1.kama ulisoma my last quote niliyokuquote niliongelea suala la nyumba ( kumiliki nyumba) . una kumbuka?
Ni kweli nyumba unaweza isiwe investment na literally alikuwa anasema ni bora kupanga na kuwekeza kwenye real estate (RE).
Tuje kwenye uhalisia nikutolee mfano wewe, kama una familia yako mke na watoto. Maana yake ukisema usijenge ili kupanga nyumba nzuri itakuhitaji kulipa kodi ya shilingi ngapi kwa mwezi? Kwa mwaka jee? Haitoshi kununua au kujenga nyumba?

Okay alisema kwamba kumiliki nyumba ni expenses , itahitaji ulipe maintainance cost. Lakini kwani gharama ya maintainance ni shilingi ngapi na inafanyika Mara ngapi baada ya miaka mingapi?
Expences kama bills za maji , umeme hizo hazikwepeki kwa sababu hata uki rent a house lazima ulipe.
Nilikwambia kilichotokea kwa watu ambao walikuwa wanachota kila kitu ambacho kiyosaki anasema, bila kuchuja na kujua sio vyote vina work kwa kila mtu na kwa maisha ya kitanzania au ya kiafrika, Leo wamefilisika kwenye miradi waliokuwa wamewekeza, na nyumba za kuishi hawana zaidi sana wameishia kurudi vijijini baada ya kushindwa kumudu hata kodi.

Kwangu Mimi naona kumiliki nyumba unasave cost nyingi sana tofauti na ukipanga nyumba. Na ninaweza kumshairi Mtu kwa proper utilization za hela ni bora ajenge nyumba, halafu aanze kusave excess money ambazo angekuwa anapigwa kwenye hizo za kupanga.

2.Issue ya Elimu. Huwa anaishusha hadhi sana elimu na kufanya vijana wengi wasitamani kusoma. Ana msemo mmoja kwamba wenye C wamewaajiri wenye A. Yaani kwa maana nyingine ni kwamba wasomi wameajiriwa na ambao hawajasoma. Kwahiyo kwa kifupi haoni umuhimu wa shule. Na vijana siku hizi wameshikilia huo msemo sana tena baada ya kushindwa kufanya vizuri shuleni.

Lakini wanashindwa kujiuliza bila shule wangeweza kweli kusoma hata this rich dad and poor dad? Bila shule wa naweza kuelewa concept zote alizoziandika kwenye kitabu? Proper management ya fedha inahitaji pia elimu. Well na kama kweli shule haina maana kwanini huyo aliyefeli inabidi amwajiri msomi ili afanikishe mipango yake?.

NDIO MAANA NIKASEMA KIMEKAA KUTOA FARAJA BADALA YA NJIA SAHIHI.

NB, kumbuka haya ni mawazo yangu yanaweza kuwa sahihi au sio sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok, Paula, sasa tunaenda vizuri..

Moja ya vitu vilivyosababisha kitabu chake kikataliwe hadi akichapishe mwenyewe ni hoja tatu,

1)Saving money is foolish.
2)Dont work for money na ya tatu ni uliyosema
3)Your house is not an asset, tuijadili',

Nafikiri unakubaliana na definition yake ya asset na liability, na unakubali pia kwamba ili utajirike unatakiwa kununua asset badala ya liability...

Kwamba, badala ya kununua nyumba uishi wewe, nunua nyumba upangishe, hesabu inatakiwa kuwa kwamba, gharama utakayokuwa unatumia ulikopanga iwe ndogo kuliko pesa unayoingiza ulikopangisha, ina maana utapokea rent ambayo itacover pango lako na kubakisha, hiyo unayobakisha ndio profit..

Sijui kama ninaeleweka, inambna hiyo nyumba ungeishi mwenyewe, usingeingiza kitu na ungeilipia kodi na maintainance, tayari ingekuwa liability, ingekuwa ni expenditure, badala ya income.

Mtu mwenye nyumba ya kupangisha anafilisikaje ili hali inamwingia pesa kila mwezi?

Mimi nadhani mwenye nyumba ya kuishi ndio anafilisika maana haiingizi na inamgharimu pesa..

Kwa mfano, watu hawa wawili wakipoteza kazi, mmoja ana nyumba ya kupangisha mwingine hana, nani atasurvive?

Tofauti iliyopo kati ya asset na liability, When you lose your job an asset will feed you, but a liability will eat you!

Suala la elimu Kiyosaki halipingi, lakini anasema elimu ya darasani(formal education)ina mapungufu, inatoa
1)Academic education
2)Professional education
Lakini haitoi
3)Financial education.

Ninadhani yuko sahihi, wewe unaonaje Paula?
That book ita trend karne nyingi saana..the best book ever

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkapa hiki kitabu kakiandika kwa woga, ujanjaujanja na uongo wa mapengo.

Hakutaka kufunguka kwa "ukweli na uwazi" kama anavyojitapa. Ndiyo maana kaandika kitabu kifupi. The main text is about 260 pages with added facts, figures, Azimio la Arusha excerpts etc that stretches it to about 320 pages.

Nimekisoma kitabu baada ya kusoma kitabu cha Samantha Power. Granted, Power simjui kama ninavyomjua Mkapa. I grew up with the Mkapas in Upanga. Ndiyo maana namjua Mkapa mpaka maongezi ya dinner table kwake na jinsi anavyokataza watoto kunywa maji mpaka wamalize kula kwanza. Mchizi wangu alikuwa ananilalamikia " Mshua noma sana, tukila anakataza kunywa maji. Anasema hakuna mtu kunywa maji mpaka umalize kula".

Lakini, ukimsoma Samantha Power unaona alivyokuwa open kuhusu maisha yake. Vulnerably so. Mkapa katupa hadithi nzuri ya maisha yake, ukweli kauficha.

Ujue unavyoandika zaidi, unafunguka zaidi. Ndiyo maana Mkapa kaandika kifupi sana.

Nakumbuka kwenda party moja ya kwa Mkapa, ali mu introduce Peter kama mwanaye ambaye anajivunia sana. Peter ni mtoto wa kufikia wa Mkapa, kwa Mama Anna na Basil Mramba.

Basi ungekuwepo kwenye hiyo party ungeona kwamba Mkapa anampenda Peter kuliko hata hao wanawe wa kibaiolojia kina Nico na Stephan.

Nimekuja kusoma kitabu, nakuta Peter kawa deleted kabisa. Hakutajwa hata sehemu moja. Katika watoto wanatajwa Nico na Stephan tu, kama Peter si mtoto wa nyumba ya Mkapa. Ukisoma kitabu bila kuijua familia, utafikiri Mkapa alimkuta Mama Anna bila mtoto. One can argue that this is a professional memoir with less emphasis on family, but then, if so, why mention Nico and Stephan?

Nikasononeka sana kwa unyanyapaa huu.

Sasa huo ni mfano mdogo tu wa maneno yaliyoachwa kuandikwa katika kitabu hicho ambayo watu wasioijua familia ya Mkapa kwa karibu hawatayajua.

Lakini wengine tunaojua ya ndani zaidi tumesoma kitabu tukaona hapa kaacha kusema hiki, hapa kaacha kile.

Mfano, Mkapa alikuwa na nafasi nzuri ya kuwa role model katika ndoa changa na za zamani zenye matatizo ambazo zinayakabili matatizo na kuyashinda.

Kuelekea uchaguzi wa 1995, familia ya Mkapa ilikuwa inasambaratika. Mama alikuwa amechoka ubabe wa mzee. Talaka ilikuwa inanukia (ingawa Mkapa alisema Wakatoliki talaka mpaka idhini ya Papa, na yeye alikuwa radhi kuishi sehemu tofauti na Mama Anna lakini hakuwa tayari kumtaliki). Msaada pekee ukawa Nyerere. Akamwambia Mkapa wewe unaenda kuongoza nchi, sitaki kusikia maneno ya talaka wala kuachana, mtakaa chini, mtazungumza, mtamaliza tofauti zenu na mkeo.

Wakakaa chini, wakazungumza, wakamaliza tofauti. Nyerere ndiye aliyewasuluhisha. Haya ni maneno ya kutoka kwa wanafamilia wenyewe.

Ukisoma kitabu utafikiri wamekuwa kwenye ndoa ya furaha mwanzo mwisho. Huo ni uongo by omission.

Ningemsamehe zaidi kama asingejinadi kwa ukweli na uwazi.

Huyu ndiye baba wa "Ukweli na Uwazi".

Sasa sisi wasela tusemeje?

Hapo nimegusia familia tu, ambako hakuna kesi. Ukienda zaidi unakuta kitabu kinaacha maswali mengi zaidi ya majibu. Yani kaandika mambo kirahisi rahisi sana kama wote wajinga na hatujui kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kama Mengi (RIP). Kwenye kitabu chake alimtaja Mercy Mengi(RIP) mara moja tu.
 
Hi guys,
The Great Gatsby by F. Scott Fitzgerald.

My young brother hated this book as he was forced to read it in high school literature classes.

I decided to read Gatsby after avoiding it due to its reputation when being forced on students (it tought in various high school classes)

Aw I just finished and I loved it, the writing style is beautiful.
It is the one of the best commentaries on the "American dream" ever written.
You see, Fitzgerald does a remarkable job of saying things that most people feel but can't put into words. It's very very teachable book.

Lastly, What I absolutely love about Fitzgerald is his dialogues .
View attachment 1363955

Good night/day bookworms.
Niliangalia movie yake mwaka Jana, Gatsby aliuchukia umasikini . Alipatosa kwao nakuenda kupambana.

Nick ni moja ya marafiki wa kweli ambao hutokea Mara chache Sana. Kifo Cha Cha Gatsby kilinifanya nihitimishe hivyo.

Daisy hakuwapenda wote Tom na Gatsby, maana siyo rahisi kuwapenda wanaume wawili.

America ni nchi ambayo inaamini katika materialism , Pamoja na effort yote ya Gatsby ya kuuandaa parties lakini alipokufa alikuwa na Nick tu , hata Daisy na Tom hawakutokea wakati aliye sababisha ajari ni Daisy.

Nilipenda msemo wa Aliokuwa anautumia Gatsby "old sport" akitaka aonekane na yeye anatokea kwenye Tabaka/watu wenye kipato.

Nchi yetu isingekuwa ya kijamaa hichi kitabu kingepaswa kitumike mashuleni maana American dream inaweza kuwa African dream pia.

soundtrack iliyotumika kwenye movie hiyo hapo chini, amecheza DiCaprio Kama Gatsby himself

Niliangalia movie yake mwaka Jana, Gatsby aliuchukia umasikini . Alipatosa kwao nakuenda kupambana.

Nick ni moja ya marafiki wa kweli ambao hutokea Mara chache Sana. Kifo Cha Cha Gatsby kilinifanya nihitimishe hivyo.

Daisy hakuwapenda wote Tom na Gatsby, maana siyo rahisi kuwapenda wanaume wawili.

America ni nchi ambayo inaamini katika materialism , Pamoja na effort yote ya Gatsby ya kuuandaa parts lakini alipokufa alikuwa na Nick tu , hata Daisy na Tom hawakutokea wakati aliye sababisha ajari ni Daisy.

Nilipenda msemo wa Aliokuwa anautumia Gatsby "old sport" akitaka aonekane na yeye anatokea kwa watu wenye kipato.

Nchi yetu isingekuwa ya kijamaa hichi kitabu kingepaswa kitumike mashuleni maana American dream inaweza kuwa African dream pia.

soundtrack iliyotumika kwenye movie hiyo hapo chini, amecheza DiCaprio Kama Gatsby himself

You made a great summary.
Halafu ukisoma reviews za hiki kitabu unaweza kuisi ni love story kumbe siyo.
Itabidi nijitahidi niangalie movie yake.
 
Back
Top Bottom