Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Dah watu mnapenda sana motivational books...ila mimi sijui nini ila imani na hao writers ilishanitoka baada ya kugundua alieandika how to be rich alikufa masikini.

Baada ya kujua hao business motivations na wao wanategemea kukuuzia kitabu ili wakuze business yao.

Inshort they get rich off of people believing they will be made rich.
It's a fantasy, a story tale.

Ndomana bora nistick kwenye fictional stories,comedy,drama etc. Nikiwa najua kabisa this book is what it claims it is "just a story"

ila sio storybook inayokuambia "i am more than a story book,I can change your life"
I prefer honesty.
 
Citizen B,
Mkuu Citizen B asante kwa haya maoni ya msingi kabisa.

Kwa upande mwingine mimi naona vitabu vyote vyaweza badili maisha ya mtu, au angalau mtazamo wa kimaisha bila kujali vimebeba dhana ya aina gani.
 
Citizen B, The book isn't necessarily a reflection of author's life or moral compas.
Also, the fact that he was not successful in his life doesn't mean that there is no value in reading his books.

You see,the Author may have been poor, but dosen't mean you can't gain something from reading the book. Use the information to expand your thought , help you to think about things differently and inspire you to take action.

Don't just read one book, read different books. Take the best forget the rest and move on. Knowledge and wisdom doesn't require a true backstory Citizen B.
 

Attachments

Citizen B, Ni mtazamo hasi tuu unakuandama
Tonny Robins,John C. Maxwell, Les Brown,Richard Branson, Robert Kiyosaki,Donald Trump nk hao ni baadhi tu ya motivational speakers/Writters and they have thier own side business which made them where they are today..Na kingine tambua kwamba ile ni karama pia sio kila mtu anaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…