Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

My current reading ...
4fd96a09000ed_25127n.jpg
 
You are far too kind.

I am but a humble seeker.
Mkuu Kiranga...kuna thread moja nliona umemwongelea Stalin....naomba suggestion ya kitabu kinachomzungumzia kiundani, his history, rise and fall.
Thanks in advance mkuu.

Oh my..... ain't no tellin
 
NAPENDA SANA KUSOMA VITABU. Kwa muda mrefu sasa nimekua natamani sana kua na makitaba yangu nyumbani hata hapa hapa kwenye kasebule kangu kafinyu lakini nakosa hivyo VITABU naishia kusoma soft copies.

Nipo kijijini na hela za kula tu zinasumbua sijui za VITABU nitapata lini. Nilipokua chuo nilijikusanyi VITABU vichache vipo tu kwenye box jamani wenye VITABU vingi hard copies NIPUNGUZIENI VICHACHE NAMIMI NIWE NA MAKITABA YANGU NYUMBANI VINIFARIJI, VINIFRAHISHE NA KUNIELIMISHA. Cc. Paula et'al

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasomeko, Natamani ningekuwa karibu ningekupatia vitabu vya kutosha. Mara nyingi nikisoma vitabu kuna ambavo havina umuhimu wa kuvirudia kuvisoma huwa navipeleka magereza kwa wafungwa nikienda kuwatembelea.

Nakuahidi siku nikija nitakubebea vitabu, japo sina uhakika itakuwa ni lini.
 
Natamani ningekuwa karibu ningekupatia vitabu vya kutosha.
Mara nyingi nikisoma vitabu kuna ambavo havina umuhimu wa kuvirudia kuvisoma huwa navipeleka magereza kwa wafungwa nikienda kuwatembelea.
Nakuahidi siku nikija nitakubebea vitabu, japo sina uhakika itakuwa ni lini.

Siku ukija sijui tutakugawanaje hata, maana dah.
 
Katika vitabu vyote nilivyosoma nikavipenda na kunisaidia katika maisha yangu ni How to win friends & influence people hiki siyo kitabu tu ni zaidi ya shule

Nilikuwa nasoma paka mwili unasisimka natamani kila mtu akisome hicho kitabu ni kizuri Sana

Naomba niye wazoefu wa kusoma vitabu je nitapata kizuri Kama hicho naombeni majina ya vitabu vizuri ata vitano vizuri kama hicho kitabu nisome nitafurahi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom