Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
-
- #1,541
Asante Don nitakaribia.Natania, karibu sana siku ukija.
Asante Don nitakaribia.
Vipi pasaka ilikuwaje?
Shokamoooo.🤗#1508
Thank you trplmikePaula Paul,
Nimependa uchambuzi wako..umekwenda shule..
Uchambuzi wake Makanyaga. Ili tujifunze.Paula Paul,
Mimi nimesoma karibia vyote vilivyoka hapa:
You books. You-books.com. The biggest library
na hapa pia
You books. You-books.com. The biggest library
Kinahusu nini?You Must read" life is Huge"View attachment 1418776by Susan Jeffers
Labda kazi zingine zote zisimame kwa mwaka mzima!Uchambuzi wake Makanyaga. Ili tujifunze.
Hello Fransisco , You good?Ohh kumbe kipo kwenye mitaala. Basi nahisi nashawishika nikianze soona baada ya kumaliza A Painted House. Mimi nina paperback i hope utakuwa nacho pia.
Hello. Nilipata dharura asee ndio nimerejea sikuweza hata kusoma page hata moja ila itabidi nimalizie leo na kesho ili angalau Jumanne tuanze. Sorry for letting you down.Hello Fransisco , You good?
Tuanze lini?
Hello Fransisco , You good?
Tuanze lini?
Dharura ya heri? Is everything okay ?Hello. Nilipata dharura asee ndio nimerejea sikuweza hata kusoma page hata moja ila itabidi nimalizie leo na kesho ili angalau Jumanne tuanze. Sorry for letting you down.
Nina top ten kwenye categories mbali mbali.Hello Paula, naweza pata list na pdf ya your top ten books toka uanze kusoma vitabu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma The Power of Positive Thinking (Vincent Norman Peale).
Sio heri sana. NitakuambiaDharura ya heri? Is everything okay ?