Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

My Favorite Book of ALL TIME is HOLY BIBLE
 

2 Timotheo 4
1 Nakuagiza mbele za Mungu, na mbele za Kristo Yesu, atakayewahukumu walio hai na waliokufa; kwa kufunuliwa kwake na kwa ufalme wake;

2 lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.

3 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;

4 nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.

5 Bali wewe, uwe na kiasi katika mambo yote, vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiliza huduma yako.

6 Kwa maana, mimi sasa namiminwa, na wakati wa kufariki kwangu umefika.

7 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda;

8 baada ya hayo nimewekewa taji ya haki, ambayo Bwana, mhukumu mwenye haki, atanipa siku ile; wala si mimi tu, bali na watu wote pia waliopenda kufunuliwa kwake.


I'D RECOMMEND THIS BIBLE VERSE FOR YOU IF I HAD TIME TO
 
Amen. Thank you, I am touched beyond words. Many thanks[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hivi kwanini mtumie kingereza wakati nyie ni waswahili wa Yombo? Sio fair kabisa mnachotufanyia mliosoma shule za mabasi ya njano..
Lazima utofautishe Yombo Vituka na Buza. Buza tunaanza kiingereza mdogo mdogo....
 
cute b,

Paulo Coelho at his best.

Umetisha sisteri.

Proud of you.

Ntarudia kukisoma.
Hiyo "sisteri" umenifanya nikumbuke mbali sana.
Wakaka wa Arusha ndio zao kuita watu "sisteri" au "mazeri".
Kirudie maana hakichoshi yaani. Bado natamani kukirudia zaidi na zaidi jamaa alivokuwa anasimulia kuhusu kondoo wake.
 
My first novel outside of class study was 17 law of success by Napoleon Hill followed by Rich brother, rich sister by Robert kyosaki but my best book is the richest man in Babylon. This three books changed my mind and I had never picked my degree certificate since my graduation in 2013. Life is so good with reading books
 
Write your reply...Kolymsky Heights hadith flan hiv ya kispy pamoja na the animal farm yaan mi kwa kifupi vitabu vyote vya crime thriller with love romance suspension navipenda sana, hapa nasoma kinaitwa the vengeance kinahusu baba drug addict who are on the run from authority baada ya kuua baba na mwanae in a baseball game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…