Nilitaka nikutag,kumbe upoooo?The Other Side of Sidney Sheldon - Sidney Sheldon
In his book I met a quote which eventually brought me back to life, was as good as dead both physically and spiritually.
“Life is like a novel. It's filled with suspense. You have no idea what is going to happen until you turn the page.”
Since then, I have come to appreciate any circumstances of life knowing that there are good/bad pages coming before the conclusion.
[emoji13][emoji13]Anachokitafuta atakipata, mwache avamie anga za watu ovyo ovyo.
Hiyo "sisteri" umenifanya nikumbuke mbali sana.
Wakaka wa Arusha ndio zao kuita watu "sisteri" au "mazeri".
Kirudie maana hakichoshi yaani. Bado natamani kukirudia zaidi na zaidi jamaa alivokuwa anasimulia kuhusu kondoo wake.
[emoji3][emoji3][emoji3]Hivi kwanini mtumie kingereza wakati nyie ni waswahili wa Yombo? Sio fair kabisa mnachotufanyia mliosoma shule za mabasi ya njano..
Nilitaka nikutag,kumbe upoooo?
NdiyooTicha niambie, hicho kitabu ulimaliza kukisoma?
[emoji13][emoji13]
Dogo mbona haujasema unapenda vitabu gani? Au hausomagi? Anza na hiki.View attachment 1262208
Ndiyoo
LAW 46. Never appear too perfect.Law 2: Never put too much trust in friends, Learn to use enemies
Law 3: Conceal your intentions
Law 4: Always say less than necessary
Law 5: So much depends on reputation- Guard it with your life
Vitabu saba hadi nane kwa mwaka +majukumu mengine sio uvivu kabisa.Nimekuwa mvivu siku hizi,mwaka huu mpaka leo nimesoma vitabu 7 au 8 tu. Sasa hivi nasoma hiki
Hongera sana na Pongezi nyingi zaidi kwa baba yako.1.Bible
2.think and Grow Rich
3.Poor Dad Rich Dad
4.Why we want You to be Rich
5.The Note book
6.I Can I must I will (not yet done....)
Why!?
Sikuzaliwa nikipenda kusoma vitabu kabisa tena nilikua naona ni adhabu
baba yangu ni msomaji wa vitabu sana nimezaliwa nimekuta kuna library nyumbani
so baba akija akikukuta unaangalia tv atakuuliza swali lolote la shule,Ukimjibu sahihi bila kukosea (umepona)
ila akikuuliza swali la shule halafu ukawa hujui unajiuma uma,Ana zima TV anakushika mkono anakupeleka Library
Anakugombeza anakwambia unakaa kuangalia TV wakati kichwani hamna kitu,Anakupa kitabu usome,
anaweza kukwambia shika hiki kitabu soma mpk page 20 then summarize kwenye hii paper ulichosoma uniletee chumbani
Ukimaliza unafanya hivyo (it was hard for me) ila i used to cope with that Life Mwishowe nikajikuta nadondokea kwenye
Usomaji wa vitabu bila hata kuambiwa na mtu au kupigiwa kelele.
Cha ngapi kwa huu mwaka?View attachment 1262008
Mine 👆 but niko mvivu ila najitahidi sana 🙆
Hongera sana umewazaje mm nashindwa natamani kweli1: Bible,
2: Before you do,
3: 48 laws of power,
4: Long Walk To Freedom,
5: Dreams From My Father.
By the way nimesoma alots of book kwenye kila nyanja biashara,siasa,dini the reason ni kuwa na uelewa wa mambo yote yanayofocus kwenye jamii na maisha ya kila siku vitabu nilivyosoma vinafika 200 na zaidi.
Nyumisi mbona haujaandika waandishi? Kuna watu watakuwa wanatamani na wao wavisome. AsanteMy favorite books;
Bible
Pathologic basis of disease
Cell biology
Molecular biology
Applied biochemistry
Applied epidemiology and biostatistics
Sometimes we have to re-read a book 2-5 times to understand it.I have read this book. I heard people say it was the most entertaining history book they ever read.[emoji45]
But to me, writing style wasn't the best, maybe because it was beyond my knowledge.
I will read it again together with my dictionary,I hope this time I will understand it .
Thank you for sharing Ngao Ya Imani.
- Understanding your potential,,, prologue yake tu inatosha kufungua macho ya akili
unayo pdf yake Executive Diary?Retire young retire rich. By Robert kiyosaki
Hii ni application rafiki??View attachment 1262008
Mine [emoji115] but niko mvivu ila najitahidi sana [emoji134]
You just made my day🤣 lolI am grateful that you are back, I had planned to tell you how I and my heart feel about by the time you left. I never thought you will be back again, now you are here like you never left. It was one hell of the wait.
So, I am putting myself smart before I do an approach, collecting all beautiful lines there are to tell.
Karibu uweke na vya kwako Inapendeza.Uzi mubashara
Asanteni wadau