Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Naomba The Quite Don:Untold story of mafia kingpin Russell Bufalino.
cha Matt birkbeck
It's on my bookshelf. Time to read it.
 

Attachments

Kuna series pia inahusu hiyo kitu inaitwa STRANGE ANGEL
 
Itabidi nikitafute. Nina plan ya kusoma vitabu viwili kwa hii June.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye hiki naomba atupie hapa

Becoming Bulletproof: Protect Yourself, Read People, Influence Situations, and Live Fearlessly
Book by Evy Poumpouras
Here,
 

Attachments

Aw, Sipo Dar but thank you for the offer.
Xoxo.
ok haina shida...

Nakaribia kumaliza the secret,aisee dah hii dunia hii,na sasa naanza kumuelewa jamaa mmoja hivi alikuwa anaitwa dr elie waminnian wa chomoza pale clouds tv...

Kitabu kizuri sana,kwa namna ambavyo nimekipokea nahisi kama hakuna kitabu kingine kizuri zaidi ya hiki.

Mimi sijawahi kusoma vitabu hiki ndo cha mwanzoo
 
You are so lucky umesoma kitabu kwa mara ya kwanza na kukipenda Safuher.

Vipo vingi vizuri zaidi na zaidi. Karibu katika huu ulimwengu wa vitabu utajionea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…