Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

kama unataka kitabu chochote duniani kasoro tanzania niambie sasa hvi kabla sijaenda offline cha kununua or whatever nambie nkitafute ntakusaidia

ofa ni ya masaa matatu toka sasa

Mkulima wa mahindi

The Keys, cha DJ Khaled.

Asante.
 
Naona kwa TZS ni hiyo.
Ni Softcopy maana utakisomea kwenye hiyo.View attachment 1456150
Shukran sana mkuu.

Ubarikiwe
Kindle ziko vizuri sana, japo niliyonayo mimi ni Toleo la nyuma kidogo ila imeniongezea sana usomaji ukilinganisha na kusomea kwenye simu yenye apps nyingine nyingi (distractions).
Nilibahatika kununua kwa mtu online kupitia Facebook kwa 120,000 tu alikuwa Ametoka nazo nje ya nchi kama Miezi 8 iliyopita. Jaribu pia kuangalia online sellers unaweza kupata latest kwa bei Nzuri tu.
20200522_075735.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kindle ziko vizuri sana, japo niliyonayo mimi ni Toleo la nyuma kidogo ila imeniongezea sana usomaji ukilinganisha na kusomea kwenye simu yenye apps nyingine nyingi (distractions).
Nilibahatika kununua kwa mtu online kupitia Facebook kwa 120,000 tu alikuwa Ametoka nazo nje ya nchi kama Miezi 8 iliyopita. Jaribu pia kuangalia online sellers unaweza kupata latest kwa bei Nzuri tu.View attachment 1456344

Sent using Jamii Forums mobile app
Good for you.
Hapo unaseti mwanga wowote unaoutaka.
Haiumizi macho kabisa. Kina muundo mzuri pia.
 
Kindle ziko vizuri sana, japo niliyonayo mimi ni Toleo la nyuma kidogo ila imeniongezea sana usomaji ukilinganisha na kusomea kwenye simu yenye apps nyingine nyingi (distractions).
Nilibahatika kununua kwa mtu online kupitia Facebook kwa 120,000 tu alikuwa Ametoka nazo nje ya nchi kama Miezi 8 iliyopita. Jaribu pia kuangalia online sellers unaweza kupata latest kwa bei Nzuri tu.View attachment 1456344

Sent using Jamii Forums mobile app
Haina noma mkuu.

Ukiichoka niuzie wakati bado natafuta
 
masaa matatu yashapita nmepata vya bidada hapo juu namtumia 😅

Na mimi nlpata ofa ya boss huku

12:37 AM - Tangazo lako.

3:26 AM - Post yangu.

Difference: 2:49: Masaa mawili na dakika 49.

Hapo kwenye kupata offer - ndiyo utetezi niliouelewa.

Usijali, wakati mwingine tena.
 
Kuichoka bado sana mkuu. Cheki na hii link hapa amazon kindle bookstore Arusha 2659674 | Kupatana kuna jamaa alipost tangazo siku kadhaa nyuma anauza naona anazo tatu, unaweza kubahatika
Mkuu ubarikiwe sana aisee.

Kwa kawaida chaji ni siku ngapi ?

Je naweza kufanyia kazi zingine kama vile kusoma youtube na kwenye websites zingine ?

Au ni kazi yake vitabu tuu hakuna jambo lingine ?

Na nadownload vipi vitabu,ama inakaa line ambayo itawezesha kupata MBS?
 
Dead Aid: Why Aid is not Working and How there is a better Way for Africa by Dambisa Moyo
 
Winner Takes All: China's Race for Resources and What It Means for the World by Dambisa Moyo
 
Mkuu ubarikiwe sana aisee.

Kwa kawaida chaji ni siku ngapi ?

Je naweza kufanyia kazi zingine kama vile kusoma youtube na kwenye websites zingine ?

Au ni kazi yake vitabu tuu hakuna jambo lingine ?

Na nadownload vipi vitabu,ama inakaa line ambayo itawezesha kupata MBS?
Kuna mdau kanipigia simu kaniambia kuna mtu anauza kwa 90000 vipi bei hii sio upigwaji mkuu ?
Kwa Kuwa matumizi pekee ni kusoma vitabu charge unadumu nayo hata wiki nzima hadi wiki 2.

Kwa hii yangu ni vitabu tu ila latest editions nadhani zinatumia android OS na unaweza kuweka hata apps nyingine ukatumia kama tablet ya kawaida japo sina uhakika kama zina uwezo wa kuingiza SIM cards kwa kuwa halikuwa lengo lake tangu mwanzo.
Tafadhali pitia website ya Amazon upande wao wa product utaona features za latest kindle.

Kwa bei hiyo nadhani ni sawa, muhimu uikague uridhike maana used items unaweza kuja kugundua tatizo baada ya kuilipia na muuzaji kuondoka ikawa ni hasara kwako.

Chaji nimeambiwa siku nne aisee..
 
Back
Top Bottom