Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Among the best books nimesoma kuhusu emotional intelligence kitafteni kitawasaidia sana maana success in business and relationships depend much on emotional intelligence.
IMG_0158.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pilipili usioila inakuwashia nini?
Mkuu nikiwa Secondary nilipata shida ya Lugha. kwa hasira nilisoma vitabu 5 vyote na kuvielewa vizuri, ikiwemo Advanced English Dictionary. nilichomoka kama moto wa mshale na nikategemewa na kuaminiwa kwa mengi shuleni na kazini km Ward/ Morning presentations, Project activities. Speech presentattion, mpaka nikajistukia, sasa kuna mtu amesoma vitabu 200! duuu!

Unajua wale Super smart ''BUNDI''? wanavotisha na kukesha kwao madarasani unaweza ukajiona bure kabisa, yaani uko hapo shule unacheza tu. Lkn ukija kwenye paper sijui presentation hawakutoi jasho kabisa !
 
A

Asante sana mkuu.

The secret ya rhonda naenda nayo taratibu,iko vizuri nazidi kuona utamu,tatizo nasoma kwa simu sina hardcopy yake napata uvivu sana.
Pole sana, kutumia simu kwenye kusoma ni changamoto bora Kindle. Jaribu kununua Kindle ipo vizuri kuliko simu.
 
Kindle unakusudia nini mkuu ?

Alafu mimi kingereza sijawa mbobezi japokuwa naelewa maudhui ila kuna maneno ambayo siyaelewi,je niyawache tu maadamu ibara nzima naielewa au nikae na dictionary pembeni kuangalia kila neno geni ?

Ipi namna sahihi ya kuongeza maneno kwa sisi vichanga wa lugha ?

Natanguliza shukran kwako miss paula paula,natarajia kukualika ftari hata kama haujafunga..
 
Kama unahisi neno limebeba maana nzima ya kinachoongelewa ni muhimu kuju maana yake. Hauna haja ya kukaa na dictionary.

Kwakua unatumia simu tumia Epub Reader .Hii ni app ya kusomea.
Hii ukiwa unasoma neno likiwa geni kwako unafanya kama unali "highlight " kisha dictionaries zilizopo kwenye simu yako zitakupatia jibu. Na pia ukitaka kujua namna linavyotamkwa kuna option pia.

Ukisoma kitabu pages 5 za mwanzo na maneno magumu ukiyaangalia kwenye dictionaries, baada ya hapo utakuwa ume-master kila kitu.

Asante kwa kushukuru. Nitafurahi sana ukinialika. Nasubiri mwaliko wako Safuher.

Kuhusu kindle nakusudia kitu kama hichi. Vinapatikana amazon. Haviumizi macho.
 
Attachments

  • 4356.jpg
    4356.jpg
    38.5 KB · Views: 16

Shukran sana mkuu.

Nitakualika tu.

Hizi kindle bei zake zikoje mkuu?

Ni maalumu kwa kusomea vitabu tu na je unadownload vitabu ama ?

Zaidi nitatafuta mtandaoni.

Asante sana.
 
Ni maalumu kwa kusomea vitabu tuu.
Vina audio pia, ukitaka kusoma kwa audiobook.

Vitabu unanunua Amazon ila unaweza kuvi-download kwenye computer yako halafu ukatumia USB wire kuingiza kwenye Kindle.
 
Samahani mkuu na bei vipi

Huko amazon pia inakuwa unanunua online yaani softcopy ama hardcopy ?
 
kama unataka kitabu chochote duniani kasoro tanzania niambie sasa hvi kabla sijaenda offline cha kununua or whatever nambie nkitafute ntakusaidia

ofa ni ya masaa matatu toka sasa

Mkulima wa mahindi
 
Boss,

The Brothers of Auschwitz - Malka Adler

Last Stop Auschwitz - Eddy de Wind

Diana - Andrew Morton

Tell Nobody - Patricia Gibney
 
kama unataka kitabu chochote duniani kasoro tanzania niambie sasa hvi kabla sijaenda offline cha kununua or whatever nambie nkitafute ntakusaidia

ofa ni ya masaa matatu toka sasa

Mkulima wa mahindi
Developing a Healthy Mind: A Practical Guide for Any Situation

Book by Julián Melgosa

Nakitafuta sana hiki kitabu kwa yeyote ataeweza kunisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom