Kwa Kuwa matumizi pekee ni kusoma vitabu charge unadumu nayo hata wiki nzima hadi wiki 2.
Kwa hii yangu ni vitabu tu ila latest editions nadhani zinatumia android OS na unaweza kuweka hata apps nyingine ukatumia kama tablet ya kawaida japo sina uhakika kama zina uwezo wa kuingiza SIM cards kwa kuwa halikuwa lengo lake tangu mwanzo.
Tafadhali pitia website ya Amazon upande wao wa product utaona features za latest kindle.
Kwa bei hiyo nadhani ni sawa, muhimu uikague uridhike maana used items unaweza kuja kugundua tatizo baada ya kuilipia na muuzaji kuondoka ikawa ni hasara kwako.
Sent using
Jamii Forums mobile app