Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauhakika hakuna aliyekuelewa hapa..[emoji23][emoji23][emoji23]
Wazushi tu... mimi nimepakua app kabisa ya Comic.. ila sio vilemme oriented stuffsInaonekana wengi hawapendi comic books?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mdunguaji kakitabu kazuri, nilimpenda yule dada mlenga shabaha, hakosei, ukitingishika tu, keshakuchukua, kuna sehemu jani juu ya mti lilitingisha, akamshusha sokwe kwa risasi kutoka mtini.Na kweli waje tu
Nishawahi soma hadithi za Shigongo sanaaa
Ila za HUSSEIN TUWA ni mwisho wa reli
Nmesoma story zake mbili; Mdunguaji/Sniper na Mkimbizi
ahhh yani kama moviee..anaevijua anaweza sema
Sikudhani vya kiswahili vingenivutia
Kwenye orodha yako nimesomaBasi ngoja niweke vyangu nilivyovipenda zaidi...
- What to say when you talk to yourself
- Purpose driven to Life
- Who think you are
- Power of Subconcious mind
- How to win friends
- Bible
Hilo jarida wanalijua wengi,Nauhakika hakuna aliyekuelewa hapa..[emoji23][emoji23][emoji23]
War and peace cha Tolstoy kipo sana humu JF, tembelea nyuzi za vitabu kimewekwa mara nyingi.Mi nasoma vile nilivokusanya kutoka humu. Naomba mwenye kitabu chochote cha Fyodor Dotsoevsky,Leon Tolstoy au Alexander Pushkin aweke hapa. Nitashukuru sana
tena hiyo brothers karamazov ndo naitaka haraka.kama unajua niquote sehemu ulikoiona hiyo war and peaceWar and peace cha Tolstoy kipo sana humu JF, tembelea nyuzi za vitabu kimewekwa mara nyingi.
Ya Fyodor ninayo Brothers Karamazov, ila sijui namna ya kuiweka hapa.
Ipo hiyo ya shigongo RAISI ANAMPENDA MKE WANGU ni tamu, niliisoma ni kama nilikuwa naangalia luninga vile.Na kweli waje tu
Nishawahi soma hadithi za Shigongo sanaaa
Ila za HUSSEIN TUWA ni mwisho wa reli
Nmesoma story zake mbili; Mdunguaji/Sniper na Mkimbizi
ahhh yani kama moviee..anaevijua anaweza sema
Sikudhani vya kiswahili vingenivutia
War and peacetena hiyo brothers karamazov ndo naitaka haraka.kama unajua niquote sehemu ulikoiona hiyo war and peace
sijui nikupe sifa gani yani umekuwa msaada sana. ubarikiwe [emoji120][emoji120]War and peace
Amin🙏sijui nikupe sifa gani yani umekuwa msaada sana. ubarikiwe [emoji120][emoji120]
Hio pamoja na kitabu kingine nmesahau jinaIpo hiyo ya shigongo RAISI ANAMPENDA MKE WANGU ni tamu, niliisoma ni kama nilikuwa naangalia luninga vile.
HoneyBee alikua sio mtu wa mchezomchezoooMdunguaji kakitabu kazuri, nilimpenda yule dada mlenga shabaha, hakosei, ukitingishika tu, keshakuchukua, kuna sehemu jani juu ya mti lilitingisha, akamshusha sokwe kwa risasi kutoka mtini.
Thank You Khan!One advice.. I have seen alot of comments where by people claims to read a book for just few hours.. Maybe it's true!
But how could we get the best out of those books if we read them in Just few hours?
Maybe if it's mere novel!
But for books such as Think and Grow Rich, How to win friends and influence people you have to read just a single chapter per day to get the best of it without forgetting!
Not only that but also rereading the book several times!
This also applies to all self improvement Books!
Avoid reading alot of books without getting the best of them!
Khan!
Bravo! you are right!Thank You Khan!
I agree with you however it completely depends on the content, free time, length of book, someone's interest and how complex it is.
It took me 2-5 hours to read Harry Potter and Dan Brown while, Other books took me months to get through because of all the more complex ideas and concepts. I had to stop and really think on the ideas, sometimes I pause to make short notes for my review.
Something easy would take a couple hours or days, whereas something dense might take weeks or mouths. So it depends on the book, style of writing, author and how interested I am.