Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

POWER OF THE PUSSY by Kara King.

Being a senior bachelor I had to read this book to find out what Kara King was telling women; this way I can be aware of all tricks women use when dating a man.

She had good advise but I personally disagree on a point of using sex as leverage; hapa anawapoteza wanawake wenzie.

Kwa kifupi hichi kitabu hakiwafai hawa Dada zetu wa kibongo.
 
Nimesoma (na ninaendelea kusoma...) vitabu vingi sana na vingi vimenisaidia. Kimojawapo ni "THE MAGIC OF THINKING BIG"

Moja ya quote nyingi kwenye kitabu hicho ni hii hapa: Pete is filling out a job application form. One question asks, "What beginning salary do you expect" Pete puts down a modest figure because he feels he really isn't worth the bigger sum that he would like to earn

Kuna consultancy moja niliitwa na UN agency flani kwenda kudiscuss nao mwaka 2015. By then nilikuwa nasoma kitabu hiki na nilikuwa nimefika chapter 4 "How to Think Big". Wakati najiandaa kwenda mawazo yangu yalikuwa niwatajie lump sum US$4000 kwa mwezi maana haikuwa "deliverables-based assignment". Ila wakati nipo njiani, nikasema actually this is thinking low. Nilipofika ofisini kwao wakati wa discussion ghafla nikapata confidence tu na kuwaambia kwa ToR hii ntahitaji US$12,000 per month. Baada ya discussion ndeeefu mwisho wa siku wakaishia kunipa US$8,500. In-fact ile kazi budget yake baadae nilikuja kujua ilikuwa US$13,000 monthly na walikuwa wameplan kurecruit expatriate.

So, thinking big and having confidence is key. I would recommend hii kitabu kwa mtu yeyote. Attached find the soft copy. Ukipita Mlimani City Dar es Salaam pale unaweza kupata hardcopy, inauzwa around TShs. 50,000/-
 

Attachments

The Other Side of Me - Sidney Sheldon

In his book I met a quote which eventually brought me back to life, was as good as dead both physically and spiritually.

“Life is like a novel. It's filled with suspense. You have no idea what is going to happen until you turn the page.”

Since then, I have come to appreciate any circumstances of life knowing that there are good/bad pages coming before the conclusion.
Thatz great!!
 
POWER OF THE PUSSY by Kara King.

Being a senior bachelor I had to read this book to find out what Kara King was telling women; this way I can be aware of all tricks women use when dating a man.

She had good advise but I personally disagree on a point of using sex as leverage; hapa anawapoteza wanawake wenzie.

Kwa kifupi hichi kitabu hakiwafai hawa Dada zetu wa kibongo.
"Pussy is a commodity. Men wouldn't pay for it, if it didn't have value"
Lol, mpaka sasa nashangaa imekuwaje hiki kitabu kikawa miongoni mwa "best sales books". Kina lugha kali sana😊😊.
 
Noma sana huyu Mzee, kuna kimoja cha amemzungumzia Mugabe, mzee kafunguka anaeleze jinsi walivyofanya mambo ya ajabu kule Congo DRC wakati wa Kabila. Kafunguka na kuonesha hadi huyu Raisi wa sasa Munangagwa alivyohusika na kuratibu mkakati wa wizi wa mali za Congo ambazo UN ilisema ni USD 5 Billion. Ametisha sanaa
Nitakitafuta cha Mugabe. Meredith namfuatilia sana kila akitoa kitabu kipya, ila hapa karibuni nilikuwa nimetingwa sijakijua hiki.

Ike series yake ya vitabu vya State if Africa na Wealth if Africa yote niliisoma alipovitoa.

Shukurani sana kunifahamisha..
 
Kuna kile The Gulag Archipelago.
Solzhenitsyn aliandika a masterpiece.

Anakuandikia kuhusu Soviet Union unajiona kama na wewe upo huko vike, usipoangalia unaanza kuogooa kwamba askari wanakufuatilia na wewe.

Ukikisoma kitabu hiki, kuna mambo mengi huwa tunayachukulia poa tu Tanzania, lakini ukiangalia kwenye historia hii, si poa kabisa.

Hitler aliua Wayahudi wengi sana, ika Stalin aliua zaidi kwenye Gulags za Soviet Union.
 
Boss kitabu nilichoomba umekiona lakini!?

The Accountant's Story by Roberto Escobar
 
Currently trending...

Just bought this.
20191123_165658.jpeg
 
Basi kuna kitabu nilisoma kikaandika kuwa democrasia haiwezi kufaa kwenye hali zote, huwezi kuwa na mbwa mwitu wawili na kondoo mmoja harafu ukasema wapige kura nani awe dinner!!. Mwaka huu nimesoma mwingine anasema kitu kama hicho, demokrasi ainaweza sababisha "tyranny of the majority". Nimeanza kuquestion demokrasia tunayoiamini sana, nikadownload kitabu Democracy,The God that failed by Hans hoppe, bado nakisoma ila huyu anaenda mbali hadi kusema kuwa kutoka kwenye monarchy kuja kwenye democracy ni kurudi nyuma kwa civilization. Hiki cha Dumbisa nafikiri nacho kitakuwa poa kwenye hii ishu.
Demokrasia ina changamoto nyingi. Changamoto moja ni elimu. Shukurani kwa kusoma na kujielimisha zaidi kuhusu demokrasia.

Demokrasia si lazima iendane na matakwa ya wengi.

Kwa mfano.

Huwezi kuwa na demokrasia kwa kusema serikali imechaguliwa na wengi, wakati walioichagua serikali hao wengi ni wajinga na hata hawajui wamechagua nini, au wanadanganywa kirahisi kwa sababu hawajui hata kusoma na kuandika.

Ndiyo maana watu kama Mwalimu Nyerere waliona nchi yetu itakuwa na demokrasia zaidi kwa kuwa na vyama vingi, ingawa tume ya Jaji Nyalali ilionesha asilimia 80 ya Watanzania walitaka kuendelea na chama kimoja, na asilimia 20 tu ilitaka Tanzania iwe na vyama vingi.

Huo ni mfano wa mtu kuona mbali zaidi ya tafsiri finyu ya demokrasia ya "wengi wape".
 
Back
Top Bottom