Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

20200329_132408.jpg

I am on this today.
 
Yeah ipo tofauti na kazi zake nyingine.
Thank you.

Umemsoma sana Grisham?. Unaonaje kazi zake kuhusu kurudia rudia.?
Yes nimemsoma sana. Sijawahi kuchoka kumsoma. Kuhsu kurudia nadhani labda kwasababu ame center zaidi kwenye legal thrillers lazima utakuta mambo kama ya lawyers, courts, juries and all that goes with the legal field zijirudie ila the plot is the main thing tunaangalia.

He always has a different plot/story and i enjoy every book.
 
View attachment 1262008
Mine 👆 but niko mvivu ila najitahidi sana 🙆
Hicho cha "Ps I still Love you" nilikisoma, niliachia pale imejulikana tayari kuna video imevuja baada ya kupostiwa instagram na watu wakacomment sana na imefika hadi college! Dada alipanik huyu, sema mpenzi wa huyu dada (nahis ni Peter) alikua karibu naye kumliwaza na kujaribu kutatua hilo la video kuvuja wakiwa hotelin nahic..

Ni stori tamu ila shida ni kuimaliza!

Hicho cha effortless english nimesoma chote, mwandishi yuko vizuri sana..kimenivusha sehem kubwa!
 
Yes nimemsoma sana. Sijawahi kuchoka kumsoma. Kuhsu kurudia nadhani labda kwasababu ame center zaidi kwenye legal thrillers lazima utakuta mambo kama ya lawyers, courts, juries and all that goes with the legal field zijirudie ila the plot is the main thing tunaangalia.

He always has a different plot/story and i enjoy every book.
Nimekuelewa sana.
Namwelewa pia Grisham na ninapenda kazi zake.
 
Nimekuelewa sana.
Namwelewa pia Grisham na ninapenda kazi zake.
He's one of the best kwenye hiyo field. Ni kama Chase alivyo kwenye Crime. Huwezi kumchoka hata ukisoma novels zake zaidi ya 50. Funny thing nasikia jamaa alifika US only once in his life time ila setting ya most of his novels ni US.
 
Back
Top Bottom