Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkayKwa hilo ondoa shaka,sote jambo tuta share
kwa lile ninalotaka, napaswa kulipupia
Yanichukua miaka, hili jambo kufikia
Ewe paula mpendwa, ngoja wangu mrejesho.
Hellohello,
hicho cha 'the holly spirit and his gifts' una pdf copy yake? natafuta mtandaoni siipati naipata epub (ambayo kwangu sio friendly kabisa)
Mkuu kile cha think big ukiona naomba nitag
Sawa nasubiri urudi kwa hitimisho.Title yake, East of Eden imetoka katika kitabu cha Mwanzo 4:16.
na moja ya maudhui yake ni uhuru wa binadamu kuitawala dhambi( Mwanzo 4:7).
............................. ...Nitarudi.
Nilikua natafuta kitu kama hiki, Sometimes I like to read bible stories outside the bible. Tuakusubiri kwa kweli urudi tu.Title yake, East of Eden imetoka katika kitabu cha Mwanzo 4:16.
na moja ya maudhui yake ni uhuru wa binadamu kuitawala dhambi( Mwanzo 4:7).
............................. ...Nitarudi.
Ni kitabu kizuri sana jaribu kukisoma.Nilikua natafuta kitu kama hiki, Sometimes I like to read bible stories outside the bible. Tuakusubiri kwa kweli urudi tu.
Hakina udini.
Yeah, hata mimi nimeona hivo. Kwa sababu hata habari za Cain na Abel zilihadithiwa tu kwa kuonekana kama Aron na Cal wanakaribia kisa hicho.Hakina udini.
Na hata hizo zinazoitwa dini pia ni hadithi tu.
Kwa hivyo, mimi sioni msingi wa kukataa kitabu kwa sababu ni cha kidini.
Kwa sababu, hata vitabu kama kwa mfano, Biblia, ukiichambua kwa undani kwa kumsoma mtu kama Dr. James Kugel katika "How To Read The Bible", utaona vitabu vya dini pia ni hadithi za kutungwa na watu katika kupambana na maisha yao ya kila siku.
Hapana sijafuatilia kabisa.Paula Paul umefuatilia series ya Hemingway PBS?
Very interesting. I bought the accompanying book yesterday.
![]()
Hemingway | Official Trailer
Ken Burns and Lynn Novick explore the writer and his enduring influence.www.pbs.org
![]()
Hemingway | A Writer (1899-1929) | Episode 1 | Ken Burns
Hemingway moves to Paris and finds success with his second novel, A Farewell to Arms.www.pbs.org
![]()
Hemingway | The Avatar (1929-1944) | Episode 2
Hemingway, having achieved literary fame, goes to report on the Spanish Civil War.www.pbs.org
![]()
Hemingway | The Blank Page (1944-1961) | Episode 3
Hemingway writes The Old Man and the Sea but is overcome by mental illness.www.pbs.org
Hapana sijafuatilia kabisa.
Asante kwa link. Ipi inapaswa kuanza?
Edit: Nimeona
View attachment 1750521
Hapana sijafuatilia kabisa.
Asante kwa link. Ipi inapaswa kuanza?
Edit: Nimeona
View attachment 1750521
Hi, HS CODE.Hi. Paula, naomba unisaidie link ninayoweza kupata free pdf. Hata hivyo kama wewe au wengine wanaweza nisaidia vitabu kama:
1: The Laws of Human Nature- Robert Green
2: Dark Psychology Series books
- Hapa kuna mlolongo wa muendelezo wa zaidi ya kitabu kimoja.
Asante.
Ni kweli vitabu vya dini vimetokana na hadithi, na kila hadhithi Ina mazingira yake kwa muwasilishaji na anaewasilishiwa.Hakina udini.
Na hata hizo zinazoitwa dini pia ni hadithi tu.
Kwa hivyo, mimi sioni msingi wa kukataa kitabu kwa sababu ni cha kidini.
Kwa sababu, hata vitabu kama kwa mfano, Biblia, ukiichambua kwa undani kwa kumsoma mtu kama Dr. James Kugel katika "How To Read The Bible", utaona vitabu vya dini pia ni hadithi za kutungwa na watu katika kupambana na maisha yao ya kila siku.
Nimemuelewa na kuelewa Paula, kazi kwangu ni kukitafuta Kama kinapatikana kwa wepesi.[emoji120][emoji120]Yeah, hata mimi nimeona hivo. Kwa sababu hata habari za Cain na Abel zilihadithiwa tu kwa kuonekana kama Aron na Cal wanakaribia kisa hicho.
Ni sawa sasa hivi mtu apatwe jambo tufananishe na kwenye Bible mtu alitokewa na jambo hilo.
Nimetamani kusoma hiyo "How To Read The Bible "
Cc Pendael24
Utakipata bila shaka.Nimemuelewa na kuelewa Paula, kazi kwangu ni kukitafuta Kama kinapatikana kwa wepesi.[emoji120][emoji120]
Sawa nasubiri urudi kwa hitimisho.