Chaggabeibe
JF-Expert Member
- May 26, 2016
- 249
- 352
Unfu*k yourself Author ni Gary John Bishop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushukuru Sana
Kazi zake zote ni nzuri.Kiko vizuri sana? Juzi kati nimevikuta mlimani city nikavichukua vyote viwili, Hiyo Sapiens na Homo Deus, sijavisoma bado.
I see, sawa. Ngoja nipige kwanza sapiens na homo deus.Kazi zake zote ni nzuri.
2.Renaissance Military Memoirs.
3.Special operations in the age of chivalry, 1100-1550.
4.The Ultimate Experience.
5.Sapiens: A Brief History Of Humankind.
6.Homo Deus: A Brief History of Tomorrow.
7.Sapiens and Homo Deus: The Brief History Of Humankind and Brief History of Tomorrow.
8.Summary Of Homo Deus:Including Key
9. Takeaways and Analysis.
10. Money: Vintage Minis.
11. 21 Lessons for The 21st Century.
12.Yuval Noah Harari Collection 3 Books Set.
13. Homo Deus Low Price CD (this is Audiobook by Yuval Noah Harari).
Hii ya Paulo Coelho, ina ukweli hata kidogo? Wewe una ifikiria namna gani Red Giant?Huwa nafikiriaga kuhusu hizi quotes mbili kutoka vitabuni.
Hii kutoka The confederancy of dunces.
View attachment 1968563
Hii kutoka The Alchemist.
View attachment 1968568
Hii mimi sioni kama ina ukweli. Zaidi naona ni kinyume chake. Vitu maishani, hasa vitu vizuri vinapatikana kwa taabu, kupambana. Ni kama vitu vyote viko dhidi yako.Hii ya Paulo Coelho, ina ukweli hata kidogo? Wewe una ifikiria namna gani Red Giant?
Hii ya Paul Coelho naikubali sana, ila sijui mechanism yake ikoje.Huwa nafikiriaga kuhusu hizi quotes mbili kutoka vitabuni.
Hii kutoka The confederancy of dunces.
View attachment 1968563
Hii kutoka The Alchemist.
View attachment 1968568
Kwa mtazamo wangu mimi, kila binadamu ni mshindani wa mwenzake. Hata baba na watoto wake. Kila siku tunagombania vitu vyote, kila mtu apate zaidi. Watu wanashirikiana sababu ya faida ya pamoja tu.Hii ya Paul Coelho naikubali sana, ila sijui mechanism yake ikoje.
Kuna mengi ambayo nimekuwa nikiyafanya, nikianza jambo najikuta linaenda katika namna ambayo kwa kweli naweza iita ni 'kibahati'. Kwa ufupi dunia ni watu, na ukijua jinsi ya kujichanganya na watu basi mambo yako yataenda.
My twin sister anasema ilibidi iwe "The whole universe conspires against you achieving it." Kwamba kuna wakati alihitaji kitu and the universe conspired against her having it.Hii mimi sioni kama ina ukweli. Zaidi naona ni kinyume chake. Vitu maishani, hasa vitu vizuri vinapatikana kwa taabu, kupambana. Ni kama vitu vyote viko dhidi yako.
Hiyo ya Jonathan Swift/Toole ndiyo naona ina uhalisia. Kuna mifano hai mingi sana kwenye historia.
Na mimi naona hivyo. Kitafute hiki, utacheka sana.My twin sister anasema ilibidi iwe "The whole universe conspires against you achieving it." Kwamba kuna wakati alihitaji kitu and the universe conspired against her having it.
Hii The confederancy of dunces itabidi nikitafute.
Sawa, kinahusu nini?Na mimi naona hivyo. Kitafute hiki, utacheka sana.
Kwanza ni Comedy book. Kinahusu jamaa aliyekuwa mtoto wa mama. Akijitia usomi sana. Na hasa muandishi aliandika kuakisi maisha yake.Sawa, kinahusu nini?
Thank you, Red Giant. I will check it out.Kwanza ni Comedy book. Kinahusu jamaa aliyekuwa mtoto wa mama. Akijitia usomi sana. Na hasa muandishi aliandika kuakisi maisha yake.
Pia historia ya muandishi na jinsi kitabu kilivyochapishwa kinaongeza ladha fulani kwenye hiki kitabu.
11/22/63 by Stephen King.Nimeiburuza hii harry potter yote hapa
Haya sasa mnipe vitabu vya science fiction na mauongouongo kama yote...
Natanguliza shukran