Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Wale wa mental health/self help books. Hiki kitabu ni kizuri.
Pick the section that fits with the challenges you face right now, and spend time applying those ideas".
Screenshot_1.jpg
Scrsht 2.jpg
Screenshot_3.jpg
 
Attachments

Kuna kitabu mwandishi amejaribu kuongelea vyakula jinsi vinavyofanya mtu azeeke, amejaribu pia kukataza matumizi ya sukari. Msaada Kwa ambae amefahamu iko kitabu. Nilikuaga na soft copy ikapotea
 
Kimeandikwa kwa lugha gani?
 
Wale wa mental health/self help books. Hiki kitabu ni kizuri.
Pick the section that fits with the challenges you face right now, and spend time applying those ideas".View attachment 2417416View attachment 2417417View attachment 2417418
Asante kwa kitabu hiki aisee, nilikua nakisoma tokea juzi na naendelea nacho , sio vitabu vingi naweza kusoma kwa namna hii tena hivi vya lugha ya kiingereza isipokuwa hiki ninakielewa.

Pia ninapitia clip za mwandishi kule TikTok nako nafanikiwa kumuelewa sana .
 
Waoh!!! Hii ni taarifa nzuri sana kwangu. Nina furaha kwa ajili yako ,Pendaelii.
 
Back
Top Bottom