Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Thanks for the soft copy, but i wish to get the hard copy and iam willing to pay some money.Thank you IB.
I did enjoy them when I was younger. Download Skeleton Key PDF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks for the soft copy, but i wish to get the hard copy and iam willing to pay some money.Thank you IB.
I did enjoy them when I was younger. Download Skeleton Key PDF
Pole sana nimehuzunika kusikia hakikuendea vizuri Olele.Paula Paul nilisoma kitabu cha eastern of eden (kutokana na ushawishi wako)
aisee sijawahi kusoma kitabu kikanishusha moyo kama hicho,
baada ya kusoma nikapoteza hamu kabisa ya kusoma vitabu, imenichukua zaidi ya miezi mitatu au minne kuwa sawa.
hahahahaaPole sana nimehuzunika kusikia hakikuendea vizuri Olele.
Ila nina furaha kwamba sasa upo sawa.
"Timshel"
Hey Paula what's up? Sijaona uzi wa vitabu ulivyosoma mwaka huu. Hebu weka list "tujimotiveti"Pole sana nimehuzunika kusikia hakikuendea vizuri Olele.
Ila nina furaha kwamba sasa upo sawa.
"Timshel"
Kitu gani hikiKama unataka kuishi bila kumwa kitafute hichoView attachment 2464901
Ingependeza uweke soft copy kama unayo.Kama unataka kuishi bila kumwa kitafute hichoView attachment 2464901
Kitabu cha vyakula tibaKitu gani hiki
Sina soft copy.Ingependeza uweke soft copy kama unayo.
So another year has come. Happy new year Bookworms.Hey Paula what's up? Sijaona uzi wa vitabu ulivyosoma mwaka huu. Hebu weka list "tujimotiveti"
2022 I readSo another year has come. Happy new year Bookworms.
Lately I don't have that much time to read. I work 12 hours a day, 6days a week. I take one day off a week basi.
I don't find time to read. But there is no such thing as being too busy to do something right? So, I make time to read, during my lunch break and during my commute. Pia before bed for two hours or more. Na pia nimekuwa a bathroom reader mzuri sasa..Lol.
2022 nilisema nitasoma kuhusu Adventure , Astronomy and Cosmology. Nimefanikisha kusoma vichache sababu ya changamoto mbalimbali ikiwemo na muda.
1.The Siege and Conquest of the North Pole by George Bryce.
2.The grand design by Stephen Hawking
3.Pop science-Great History of Time by Stephen Hawking
4.A Universe From Nothing by Lawrence Krauss.
5.The Big Bang by Simon Sinh
6.Future of Humanity by Michio Kaku
7.Shogun by James Clavell
8. Musashi by Eiji Yoshikawa.
Tbr, Our Mathematical Universe by Max Tegmar
Vingine nilivyovisoma nimeviandika humu na vingine nimepata recommendation humu ni,
1.Angela's Ashes by Frank McCourt.
2.I am Still Alive by Kate Alice Marshall.
3.Confession of an Economic Hitman (recommended by you).
4.I have No Mouth and I must Scream by Harlan Ellison.
5.Why Has Nobody Told Me This Before by
6.Burry My heart at Wounded Knee by Dee Brown
7. Leave The World Behind by Rumaan Alam
8. The Brothers Karamazov by Dostoyevsky.
Currently reading, The Girl on the Train by Paula Hawkins.
Inawezekana kuna vingine vimesahaaulika.
2023, sijaweka bado malengo yoyote. Vipi kuhusu wewe?
Cc Step_Rocker