Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Wakuu ni mimi tu ndo napata shida ya kudownload vitabu kwenye PDFDRIVE au kuna shida gani nyingine maana ni kama miezi kadhaa hivi siwezi kudownload vitabu mule
 
Wakuu ni mimi tu ndo napata shida ya kudownload vitabu kwenye PDFDRIVE au kuna shida gani nyingine maana ni kama miezi kadhaa hivi siwezi kudownload vitabu mule
hata mimi nakutana na hili. Nadhani kuna mabadiliko fulani ya settings zao
 
Ingia hapa www.pdfdrive.com andika hilo title kwenye search tab kisha download

Mkuu hii website imekuwa ikinisaidia kwa kipindi kirefu, lakini naona siku hizi inagoma kudownload vitabu japo vinaonekana. Je una website yoyote ambayo inaruhusu kudownload vitabu bila gharama?

NB: Ndugu zangu naomba kwa yeyote mwenye websites ambazo amethibitisha zinaurahisi wakudownload pdfs na hazihitaji malipo. Nimejaribu kugoogle lakini zote zinagoma. Naomba ili iwe rahisi kuiona reply anayejua ani PM.
Asante.
 
Ukipata usisite pia kushare nasi
 
It’s been a while since I visited here , just wondering how y’all are doing. Kinda missed all of you and I legit missed this thread.

So I recently finished In Cold Blood by Truman Capote.

“In Cold Blood’’ is about the brutal murder of the Clutter family in Holcomb, Kansas. The book explains what happened to the family and why they were killed. I don’t want to say too much about it , because it is best going in knowing less. I promise it was well worth a read.
His writing is just really good for me. He slowly makes the reader feel like they are a part of the family back when this took place.

It’s best book that is incredibly moving and incredibly well written.

Just wanted to check in on everyone , hope you’re all doing well.
P.P
 
Niliposoma kitabu cha "the secret" nilidhani kwamba sitokuja kusoma kitabu kizuri zaidi ya kile.

Lakini muda mrefu ulipita nikahisi sihitaji kusoma kitabu kingine kwa maana elimu ya the secret ilinitosha kuitumia katika maisha yangu.

Lakini roho ya kusoma zaidi ikanirejea nikajikuta nimeangukia kwenye kitabu cha "the power of subconscious mind" ambacho kwa kweli kilinivutia na nikaona ni kizuri zaidi ya the secret.

Nikimaliza kusoma hiki kitabu nitaandaa uzi wake maalumu ili tukichambue kwani kina nondo nzuri sana.
 
Harakati zangu za kusoma autobiography ya Malcom X zimefika mwisho. Niseme tu alijitafuta na mwishowe akajipata. Ujumbe wake wa mwisho kwa dunia ni ubinadamu kwanza.

81kQBRCqt-L._AC_UF1000,1000_QL80_.jpg
 
Back
Top Bottom