Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Nimeishia kwenye page ya kwanza tu.

Nakubaliana na wewe kabisa kuwa kitabu kina madini. Lakini they're not realistic. Utajiri hauji kwa kufanya saving. Ni hadaa tu. Ndio maana siku hizi vitabu vya hivyo nilishachoka kuvisoma. Ukweli wa Utajiri hausemwi vitabuni.
Anyway nadhani umuhimu wa kitu inategemea na mtu na mtu, mie kwangu nakiona useful sana kimenipa mwongozo katika kujipay me first na idea za savings
 
Nimeishia kwenye page ya kwanza tu.

Nakubaliana na wewe kabisa kuwa kitabu kina madini. Lakini they're not realistic. Utajiri hauji kwa kufanya saving. Ni hadaa tu. Ndio maana siku hizi vitabu vya hivyo nilishachoka kuvisoma. Ukweli wa Utajiri hausemwi vitabuni.
Mimi sijakisoma bado ila ningetamani ukisome.

Yes, we don’t get rich by saving money. Ila unaweza kuwa tajiri kwa ku invest pesa hizo ulizo zisave. Ili uweze kufanya investment inataka uwe na pesa. Na hizo pesa unaweza kuzipata kwenye savings zako, right?

Kisome, Wildlifer.
 
🤣🤣🤣 bibi yangu anakula nyama za watu. Nilisomaga zamani sana hii hadithi.. Na je kile cha 'KILE DEMU NA UTAMU WAKE' Unakifahamu? 🤪🤣
Sijawahi kuvisoma, ila sijui ni hicho cha gambosh nilisoma tu page moja mwandishi kaandika "nikaliaa wee nikalia weeee" nikaona ujinga huu sikuendelea🤣🤣
 
Mimi sijakisoma bado ila ningetamani ukisome.

Yes, we don’t get rich by saving money. Ila unaweza kuwa tajiri kwa ku invest pesa hizo ulizo zisave. Ili uweze kufanya investment inataka uwe na pesa. Na hizo pesa unaweza kuzipata kwenye savings zako, right?

Kisome, Wildlifer.
Naomba self helping books paula, dizaini hizo za love youself
 
Screenshot_20231121-114320.jpg

Ukiacha Kane and Abel, this is one of my favorite novel from Archer. Jamaa anajua sana kujenga hadithi kublend siasa, uchumi na historia kwenye hadithi zake. Spoiler: he is Russophobia.
 
Nimeishia kwenye page ya kwanza tu.

Nakubaliana na wewe kabisa kuwa kitabu kina madini. Lakini they're not realistic. Utajiri hauji kwa kufanya saving. Ni hadaa tu. Ndio maana siku hizi vitabu vya hivyo nilishachoka kuvisoma. Ukweli wa Utajiri hausemwi vitabuni.
Ujue kwanini nakuambia kwangu ni useful mie bana sinaga matumizi mazuri ya pesa yani sina nkipata salary ni matumizi hadi senti ya mwiisho kisha naanza kukaa dolo, kuna siku i asked my self hivi nakaa sina hata 100 mbovu nikipata dharura hapa nafanyaje, nikipigiwa hata simu mzazi mgonjwa inahitajika hata elf 50 sina....so kupitia hiki kitabu sahivi walau siwezi kushindwa kuafford vidharura.

Kwahiyo mie savings sio kuwa tajiri, ila we wildlifer kama haukosi vimilioni tano kwenye wallet bila shaka hauhitaji msaada wa saving, umenipata?
 
Sijawahi kuvisoma, ila sijui ni hicho cha gambosh nilisoma tu page moja mwandishi kaandika "nikaliaa wee nikalia weeee" nikaona ujinga huu sikuendelea🤣🤣
🤣🤣 Eti nikalia wee.

Kuna Riwaya moja inaitwa Janga Sugu la Wazawa imeandikwa na somebody Ruhumbika. Ukiweza kitafute, unaweza ukajifungia ndani ukamsahau hata Shemeji. Bonge ya story.
 
Mimi sijakisoma bado ila ningetamani ukisome.

Yes, we don’t get rich by saving money. Ila unaweza kuwa tajiri kwa ku invest pesa hizo ulizo zisave. Ili uweze kufanya investment inataka uwe na pesa. Na hizo pesa unaweza kuzipata kwenye savings zako, right?

Kisome, Wildlifer.
Basi nitakisoma, nguvu ya kuwakatalia wanawake wawili naitoa wapi😄, na nitatoa maoni yangu hapa hapa!
 
My favorite teacher. Marcus Aurelius 😍
FB_IMG_17004963888576167.jpg
FB_IMG_17004961459721170.jpg

Ujue kwanini nakuambia kwangu ni useful mie bana sinaga matumizi mazuri ya pesa yani sina nkipata salary ni matumizi hadi senti ya mwiisho kisha naanza kukaa dolo, kuna siku i asked my self hivi nakaa sina hata 100 mbovu nikipata dharura hapa nafanyaje, nikipigiwa hata simu mzazi mgonjwa inahitajika hata elf 50 sina....so kupitia hiki kitabu sahivi walau siwezi kushindwa kuafford vidharura.

Kwahiyo mie savings sio kuwa tajiri, ila we wildlifer kama haukosi vimilioni tano kwenye wallet bila shaka hauhitaji msaada wa saving, umenipata?
Nimekuelewa sana Evelyn. Na kwa kweli kwa angle hiyo nakuelewa, mimi pia ni bad spender, na ilinitesa kwa miaka mingi hadi nilipoweka mifumo ya kunidhibiti. Hata ukipata 10 Mil kwa siku, bila kuwa na Saving, kuna mahala utakwama.

SAVING ni muhimu sana na ndio msingi wa kufanikiwa na kuwa na uhuru wa kiuchumi.

Labda nikuulize, Hivi SAVING na UBAHILI vinaendana?
 
Back
Top Bottom