Boom haliwatoshi wanafunzi wa elimu ya juu

Nyamuleha jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
185
Reaction score
65
Fedha inayotolewa na heslb kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwaajili ya chakula na malazi yaani meals and accomodation alimaarufu kama bumu haitoshelezi labda pengine kama ingekuwa ya meals tu lakini haitoshi tsh 7500 kwa siku ukilinganisha na gharama za maisha haitoshi matokeo yake ndio wasomi wabovu kvtokana na njaa mimi ningependekeza pesa hii kuongezwa hadi 12000 kwa siku ili niweze kupanga chumba mtaani nipate chakula na nauli
 
mtizamo wangu ni tofauti na wewe, 7500 kwa mwezi 225,000 mshahara wa mtu wa mwezi pale ero link customer care vodacom. Mnatumia vibaya hizo pesa, starehe zitawauwa. Shemeji zangu wawili wapo vyuoni. Wa kiume alipopata mkopo akakamata demu hapo shule akampa mtaji demu wakaja dar kununua viatu vya biashara. Wa kike pesa za mkopo akamwongezea boyfriend anunue Noah waoshe hapa town. Sasa wadogo zangu wa vyuoni ishini maisha ya kawaida msipende kujikweza
 
UMEONGEA PWENTI.MKUU.. Sie wengine tulisoma enzi hizo boom 5000 per day na tulijibana hadi pesa zikawa zinabaki mwisho wa semester bila kujali semester dume au laa... TATIZO HAWA VIJANA WANA MAMBO MENGI.. Wanataka iphone5, laptop apple(mac book), bado wanataka ipad/tablet, bling bling, kujirusha na ngono....
UKIWA NA PLAN ZINATOSHA.. I thought kijana angekuja na hoja ya kuomba hizo pesa ziwafikie wanachuo wengi bila urasimu
 
Mkuu yawezekana ni kweli usemayo ila kumbuka msemo usemao kuwa 'Hakuna pesa inayotosha duniani' Hata wakiwapa hiyo 12000 amini haitatosha. Hamna njia ya mkato ni kujipanga tu na kuishi accordingly. Lililo muhimu mdogo wangu ni kuhakikisha unasoma na unamaliza. Najua ni muhimu kwenda disco na/au kuwa na laptop na simu kali ila muda utafika na utavimiliki tu.
 
familia zetu wanaishi kwa chini ya dola moja per day wewe mtu mmoja 7500 unaona haitoshi?
 
Hapo kwa red kweli umenena!!
 
Meals ana acomodation sehemu gani utalala ule ulipe nauli kwa 7500
 
kama haitoshi mbona mnashinda bar mnalala club na kununua cm za mamilioni?? CIUNGI MKONO HOJA!
 
hapo umenena naomba nikusalimie SHIKAMOO MKUU.
 
nimegundua ndo maana mkimaliza na kupgka kiraa japo mwaka mmoja mnalialia c mlizoea UBWETE yaan ww 7500 unaona ndogo wakati wengne hawajapata hata hyo na wameandamana mpaka basi
 
We Sio Mzma Kabsa. Wenzio Wamenyimwa Hata Hilo Boom We Unazungumzia Lipandshwe . Hata Regstration Imekua Ngumu. Think Big.
 
Unapotoa hoja yako angalia muda,wewe 5000 ilikuwa inakutosha kwa wakati huo si sasa hivi kwani gharama za maisha zimepanda
 
ebu acha utani ww......viroba nyumban kwako co hapa.
 
Hapa mimi mtoto wa kabwela natumia 3500 kwa cku,na maisha yanasogea
 
Kwa maisha ya kati, si ya juu wala ya Chini .

MATUMIZI YA LAZIMA

1)Breakfast 800/= Baadhi ya Vyuo 500/= inatosha.
2)Lunch 1500/= Baadhi ya Vyuo 1000/= inatosha ila tunachukua average cost vyuo vyote.
3)Dinner 1500/=
4)Maji ya kunywa kilimanjaro 1.5 litre 1500/=
5)Room 1000/=
6)Usafiri To and fro 800/=

JUMLA 7100/=

MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA(Tujue kua Nyumbani hupati chochote(Watoto wa wakulima) hivyo unategemea hiyo pesa kwa kila kitu)

7)Mawasiliano 500/=
8)internet 500/= Hapa unajiunga na Cheka.
JUMLA 1000/=
JUMLA KUU 7100+1000=8100.
Hapo bado hujanunua Nguo,hujatoa sadaka kanisani,hujamsaidia mdogo wako nyumbani maana anajua upo Chuo kikuu Mnapewa Pesa,Hujatenga Nauli ya Kurudi Nyumbani wakati wa Rikizo,hujatoa nauli ya kwenda Town kupata mahtaji mawili matatu.
NOTE: Hata tukisema Pesa ya Loanboard ni kwa ajili ya Kukusaidia ukiwa Chuo Tu,Lakini kiuhalisia kwa Maisha ya Watanzania haya Matumizi niliyoyaanisha hapo juu kama Matumizi yasiyo ya Lazima ni Lazima utakabiliana nayo Maana Nyumbani Wanajua Chuo Mnapata Pesa,so ata ukiomba Hupewi na Wengine nyumbani hawana Msaada Kabisa Hata Sekondarai Ada ilikua ya Kuungaunga.
 
Hapa mimi mtoto wa kabwela natumia 3500 kwa cku,na maisha yanasogea

Unasoma Chuo Gani? Unapotoa Comment juu ya hili ujue kuna wenzio baadhi ya vyuo wanalipa nauli kwenda Chuo,na Gharama ya Hostel @day 1000/= hebu toa mchanganuo wako tuone daily expenditure yako.
Ya wenzio ipo hivi....
Kwa maisha ya kati, si ya juu wala ya Chini .

MATUMIZI YA LAZIMA

1)Breakfast 800/= Baadhi ya Vyuo 500/= inatosha.
2)Lunch 1500/= Baadhi ya Vyuo 1000/= inatosha ila tunachukua average cost vyuo vyote.
3)Dinner 1500/=
4)Maji ya kunywa kilimanjaro 1.5 litre 1500/=
5)Room 1000/=
6)Usafiri To and fro 800/=

JUMLA 7100/=

MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA(Tujue kua Nyumbani hupati chochote(Watoto wa wakulima) hivyo unategemea hiyo pesa kwa kila kitu)

7)Mawasiliano 500/=
8)internet 500/= Hapa unajiunga na Cheka.
JUMLA 1000/=
JUMLA KUU 7100+1000=8100.
Hapo bado hujanunua Nguo,hujatoa sadaka kanisani,hujamsaidia mdogo wako nyumbani maana anajua upo Chuo kikuu Mnapewa Pesa,Hujatenga Nauli ya Kurudi Nyumbani wakati wa Rikizo,hujatoa nauli ya kwenda Town kupata mahtaji mawili matatu.
NOTE: Hata tukisema Pesa ya Loanboard ni kwa ajili ya Kukusaidia ukiwa Chuo Tu,Lakini kiuhalisia kwa Maisha ya Watanzania haya Matumizi niliyoyaanisha hapo juu kama Matumizi yasiyo ya Lazima ni Lazima utakabiliana nayo Maana Nyumbani Wanajua Chuo Mnapata Pesa,so ata ukiomba Hupewi na Wengine nyumbani hawana Msaada Kabisa Hata Sekondarai Ada ilikua ya Kuungaunga.
 
Unapotoa hoja yako angalia muda,wewe 5000 ilikuwa inakutosha kwa wakati huo si sasa hivi kwani gharama za maisha zimepanda
Mkuu toka mambo ya cost sharing yameanza hakuna mwaka eti hela ya boom ilitosha. Ni wewe mwenyewe jinsi gani utaitumia. Hela ya boom hakutosha na haitotosha. We piga buku maliza shule anza
 
kama haitoshi mbona mnashinda bar mnalala club na kununua cm za mamilioni?? CIUNGI MKONO HOJA!

sio wote waofanya hivyo mkuu, watu wa namna hiyo ni wachache sana,afu ukifatilia kwa undani utagundua kua hao jamaa baada ya muda mfupi tu maisha yao ni magmu kipesa wanaanza kukopakopa kila mahala,trust me if you cant believe on me!!!
 
Ajabu na kweli....hata pesa haijaingia lakini nshaona haitoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…