Boom linalotolewa kujikimu vyuoni, linatosha na kukidhi mahitaji?

Boom linalotolewa kujikimu vyuoni, linatosha na kukidhi mahitaji?

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
1,979
Kama ndiyo, kwanini, na kama siyo kwanini???
Karibuni kwa mjadala.
 
Linatosha kwa sababu mwanafunzi anatakiwa aishi kwa bajeti kali aache starehe na ajikite kwenye mambo yenye kuleta tija kitaaluma.

Kumbuka hata boom likiwa million moja bado utasema halitoshi, cha msingi jitambue wewe unatakiwa kufanya nini chuo.
 
Kutosha au kutokutosha kwa pesa inategemea na matumizi ya mtu binafsi , hilo swala ni subjective
 
natoka hapa namvyoomba kuongezewa salary je

Mkuu naomba tumtendee haki mleta mada, mbona unakomaa kunishambulia?
Kama hoja yako ni boom halitoshi then mpe sababu mleta mada, kama linatosha pia mpe sababu mleta mada.
Acha malumbano, heshimu mawazo yangu mkuu, huo ndo mtazamo wangu usitake niwaze kama wewe.
 
Last edited by a moderator:
natoka hapa sorry sikushambulii ila wazo lako pia la msingi kwa kujenga taaluma ya elimu ya juu

Hapa ni kufikitia gharam ya maisha inayomkabiri mwanafunzi jua bidhaa mbalimbali zimepanda kulingana na kushika kwa uzalishji mali nchini na uchumi pia so nivyema kuongezea kipata mwanafunzi huyu anayepata shida kwa uzembe wa viongozi wetu
 
Uko sahihi sasa hizo hoja zako mpe mleta thread na uzitetee.
Mimi nina uzoefu mkuu ninachoongea nakielewa.
 
Last edited by a moderator:
kwa matimiz yakiekimu tu na accomodation linatisha kabisa na chenchi jwan watu wanaolalamika halitoshi utawakuta wamenunua vitu vingi vya anasa ma sabwoofer ya laki 2 vitanda vya garama, vitu kibao tu ambavyo ni nje ya meals and accommodtn na asinge vinunua visinge athir maisha yake ya elimu.

USHAURI: tumia boom kwa vitu vya kitaaluma na malazi tu endapo fedha itabaki na boom lingine limeingia ndo hapo ufanye issue extraaa
 
Nami nichangie kidogo.
Fedha yoyote, kutosha au kutotosha kwake junategemea vitu vikubwa viwili: nidhamu ya matumizi(hakikisha hautumii hadi senti ya mwisho),na fedha inayo baki tumia kwa kuwekeza,hata kwenye biashara ndogo ndogo itakayo kuletea faida na kuzalisha iwe nyingi.
Boom halitoshi kwa wengi kwa sababu wanatumia kila senti na kusubiri lingine.
Mimi binafsi,natumia boom kujilipia ada ya sh laki sita kwa mwaka, maisha ya kila siku mjini,kodi ya nyumba and any other uses you can name,na bado boom linabaki,maana nalizalisha.
Haya ni mawazo yangu tu.
 
Kama ndiyo, kwanini, na kama siyo kwanini???
Karibuni kwa mjadala.

Estimation,accommodation 1000 per day(hapo unaweza kushare rum na wenzako sio lazima upange alone),meals 4000 per day,transport 1000 per day,500 ya vocha(nakupendelea), 1000 emergency kama kuna kutoa copy,7500 jumla na 1000 chenji inabaki,unataka hela ya sabuni, boxer,body spray,vest,upewe na bodi?wao hayo hayawahusu coz ulipokua secondary hujawah kutembea uchi kwa kukosa nguo
 
Nami nichangie kidogo.
Fedha yoyote, kutosha au kutotosha kwake junategemea vitu vikubwa viwili: nidhamu ya matumizi(hakikisha hautumii hadi senti ya mwisho),na fedha inayo baki tumia kwa kuwekeza,hata kwenye biashara ndogo ndogo itakayo kuletea faida na kuzalisha iwe nyingi.
Boom halitoshi kwa wengi kwa sababu wanatumia kila senti na kusubiri lingine.
Mimi binafsi,natumia boom kujilipia ada ya sh laki sita kwa mwaka, maisha ya kila siku mjini,kodi ya nyumba and any other uses you can name,na bado boom linabaki,maana nalizalisha.
Haya ni mawazo yangu tu.

bro.. ntakutafta unipe mbinu hapo kdogo..
 
nami nichangie boom halitoshi kwani kiwango kilichopo kilipangwa miaka mitano ilopita. ukizingatia gharama za maisha kupanda.mfumuko wa bei nakadhalika kuna ulazima wa kuangalia upya.
 
unapomkosoa aliyenunua kitanda kwa hela ya boom eti ni anasa kwani accomodation maana yake nini?
 
Serikali ina assume kila mwanafunzi ana dini yake, na anaifuata ipasavyo.
lakini wanafunzi wengi wanaigiza tu, leo unamwona kanisani/msikitini na kesho yupo club kufanya anasa na lile bumu alilopewa.
Jitahidi kumwogopa mungu wako ndipo utakapoona linatosha, mana starehe zakijinga hutofanya.
 
Tatzo lilopo ni kuwa wanafunzi wengi wa chuo wanaishi maisha ya kuigiza kama muvi kwaani utakuta mtu anatumia hela ya bodi kwenye pombe kama bia,kubadili wanawake,kununua nguo za garama,kwa wanawake kuseti nywele saloon kwa wiki mara tatu,n.k kwa hali hii hata mpewe 20000 kwa siku haitosh na ukitaka kuhakiki wengi wanaigiza tembelea vyuoni pindi hela inapokata hapo utajua maisha halisi ya mhusika
 
Back
Top Bottom