Tetesi: Boom: Wajumbe wote wa Bodi ya Simba upande wa Mo Dewji wajiuzulu

Tetesi: Boom: Wajumbe wote wa Bodi ya Simba upande wa Mo Dewji wajiuzulu

Hizi takataka nyeusi kwa nini huwa zinang'ang'ania madaraka.Ukishindwa kutimiza malengo maana yake kazi imekushinda..ndio maana hamna maendeleo Africa..Try again na Mangungu washikwe na kuwekwa ndani
 
Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mfanyabiashara Mohamed Dewji ameripotiwa kutoa shinikizo la kujiuzulu nafasi zao kwa wajumbe wote aliowateua yeye ambapo mpaka sasa wajumbe watatu wamejiuzuli huku wengine watatu wakigoma.

Wajumbe waliogoma kutii amri ya tajiri mpaka sasa ni pamoja na Mwenyekiti wa Bodi hiyo Salim Abdallah Muhene 'Tryagain', Rashid Shangazi ambaye pia ni Mbunge wa Mlalo na Hamza JOHARI ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mamlaka za viwanja vya ndege Tanzania.

#KitengeSports
Kumbe kuna Shangazi kwenye bodi
 
Try Again na Mangungu ndo wanaongoza list ya viongozi wasiotakiwa na wanachama wa Simba.

Ila ajabu Try Again bado anakaza kung'atuka. Muda ufike sasa wanachama wamshughulikie labda ndo atakubali kujiuzulu.
 
Ks
Hizi takataka nyeusi kwa nini huwa zinang'ang'ania madaraka.Ukishindwa kutimiza malengo maana yake kazi imekushinda..ndio maana hamna maendeleo Africa..Try again na Mangungu washikwe na kuwekwa ndaniw

Try Again na Mangungu ndo wanaongoza list ya viongozi wasiotakiwa na wanachama wa Simba.

Ila ajabu Try Again bado anakaza kung'atuka. Muda ufike sasa wanachama wamshughulikie labda ndo atakubali kujiuzulu.
Wanachama hawana nguvu ya kumtoa hawakumuweka wao
 
Try Again na Mangungu ndo wanaongoza list ya viongozi wasiotakiwa na wanachama wa Simba.

Ila ajabu Try Again bado anakaza kung'atuka. Muda ufike sasa wanachama wamshughulikie labda ndo atakubali kujiuzulu.
Labda huenda Try again ana baraka za MO za yeye kuendelea kukaidi agizo la kuachia madaraka
 
Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru.

Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli

PIA SOMA
- Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi

View attachment 3010487
Dahh mwanetu Jaribu Tena pamoja na kula gamba lake la diploma ya uongozi kutoka FIFA nae kajiuzulu, sasa mkisifiwa na Rais wa FIFA nani atawaambia maana mwana yupo karibu sana na Rais wa FIFA.
Screenshot_20240607_033813_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom