Tetesi: Boom: Wajumbe wote wa Bodi ya Simba upande wa Mo Dewji wajiuzulu

Tetesi: Boom: Wajumbe wote wa Bodi ya Simba upande wa Mo Dewji wajiuzulu

Hivi wajumbe wa bodi ya Simba ndio tatizo la msingi la Simba kufanya vibaya? Je Yeye mwekezaji alikuwa anatimiza majukumu yake ipasavyo? Kama wajumbe 3 wamekataa kujiuzulu Ina maana Kuna mengi chini ya kapeti wanayajua juu ya mwekezaji wanaona anataka kuwatoa mbuzi wa kafara wakati yeye mwenyewe ndio chanzo Cha tatizo, zile bilioni 20 aliziweka benki Gani?
Question is who is correct. Yes uongozi huu uliokuja haujafanya vizuri, from usajili mpaka to players , yes wame underperform. Ni sababu moja wapo ya matatizo yalioko simba, lakin kuna tatizo number 2, mashabiki
 
Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mfanyabiashara Mohamed Dewji ameripotiwa kutoa shinikizo la kujiuzulu nafasi zao kwa wajumbe wote aliowateua yeye ambapo mpaka sasa wajumbe watatu wamejiuzuli huku wengine watatu wakigoma.

Wajumbe waliogoma kutii amri ya tajiri mpaka sasa ni pamoja na Mwenyekiti wa Bodi hiyo Salim Abdallah Muhene 'Tryagain', Rashid Shangazi ambaye pia ni Mbunge wa Mlalo na Hamza JOHARI ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mamlaka za viwanja vya ndege Tanzania.

#KitengeSports
mleta mada rekebisha hapo pa Hamza Johari. johari sio Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania. kwa sababu wewe ni Kolo tafuta taarifa sahihi sikwambii.
 
Simba tumekwama sana yaani mwanaume mwenye pumbuhh anajiita shangazi mara mwingine ajiite Johari bora yanga wao ni joyce Lomalisa pekee mwenye jina la kike..
 
Back
Top Bottom