Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aiseeeeeeeeeeeee kumbe kawa hivi? duh.... mwenye list ya masela walio nonino nae aweke hapa chini... nataka kutengeneza movie moja kali sana
Marehemu Kanumba, Diamond........... atamaliziaMziziMkavu.
mi nakumbuka wa mwanzo kabisa alikuwa Mr. Blue akaja TID... waliofuata sasa network yangu chenga
mi nakumbuka wa mwanzo kabisa alikuwa Mr. Blue akaja TID... waliofuata sasa network yangu chenga
Mkuu saudari mimi naona amependeza zaidi!!
ila ye mbona kidogo kuna wengine wakiwataja tren inajaa na wengine wanasimama toka dai atemwe sijui ka kuna mwakilishi kishapatikana