Bora asingejichubua, au mnasemaje?

Bora asingejichubua, au mnasemaje?

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
bora usingejichubua.jpg
Maana naona kama alivyokua mwanzo ilikua cute???
 
View attachment 80768
Maana naona kama alivyokua mwanzo ilikua cute???

Mkuu always natural is beauty, nakwambia huyu badala ya kupendeza anatisha sana baada ya kujipendekeza uzunguni

Tendo hili linabainisha uwezo wake wa akili - hana kekima wala busara, yaani hajielewi wala hajithamini na hajiamini kwamba

alizaliwa akiwa mzuri sana kiasi kwamba amejigeuza kituko.
 
View attachment 80768
Maana naona kama alivyokua mwanzo ilikua cute???

Ningependa wengine wajifunze kutokana na makosa ya huyu dada.

Uzuri ni kuiweka ngozi yako halisi kuwa nyororo na ya kupendeza, msibadilishe rangi halisi za ngozi zenu jamani huyu kapoteza

kabisa sifa za asili yake, ukiangalia kushoto unatamani kumpata, lakini ukiangalia picha ya kulia ukweli hata mhoga wa jang'ombe

unasinyaa wenyewe kwa kalaha ya ukarabati alofanya.
 
Mjinga sana... Ameshindwa hata kujifunza kwa mwenzake michael jackson?
 
Mjinga sana... Ameshindwa hata kujifunza kwa mwenzake michael jackson?

We si unajua watanzania mpaka yakufike mwenyewe ndo unaamini ila kama bado wala hauamini.
 
mi nakumbuka wa mwanzo kabisa alikuwa Mr. Blue akaja TID... waliofuata sasa network yangu chenga

Kuna mtu nilimwambiaga kwamba Mr Blue alishapitiaga pande hizo ila alikataa katu katu,
hii ilitokana na Wema kuwataja kwa uchache kwenye kipindi cha Mboni show,EATV ambako alianza na the Great ,Jumbe, akafuatiwa na ....... halafu wamwisho ndo NENDA KAMWAMBIE.
 
mi nakumbuka wa mwanzo kabisa alikuwa Mr. Blue akaja TID... waliofuata sasa network yangu chenga

ila ye mbona kidogo kuna wengine wakiwataja tren inajaa na wengine wanasimama toka dai atemwe sijui ka kuna mwakilishi kishapatikana
 
Mkuu saudari mimi naona amependeza zaidi!!

Mkuu kobello, mi naona unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Atapendezaje naye kajipauwa kama mlemavu wa ngozi?

mgungu hakumpatia hicho kilema mbona amekitafuta.
 
ila ye mbona kidogo kuna wengine wakiwataja tren inajaa na wengine wanasimama toka dai atemwe sijui ka kuna mwakilishi kishapatikana

hawezi kosekana mtu kwa huyu mdada maana yuko hot kwenye hii sector... halafu kwa kubadili yeye ndio anaongoza wengine wanajikongoja na hilo halina ubishi
 
Back
Top Bottom