Bora asingejichubua, au mnasemaje?

Huyu dada ni FUNGU LA KUKOSA...nadhani ana matatizo ya ubongo pia!

Hamna cha matatizo ya ubomgo, tatizo ni kuiga tu,
Asione mtu kafanya kitu na yeye anaigia, eti anataka kuwa kama Rihanna.
 

Nice idea.
 
chezea ma obagi ya kina mama yutani... Ila Wema hapo amebugi meen.. Alikuwa cute and inocent in her maji ya kunde...

We siumeona alivyokua Cute zamani, sasa hivi hamna kitu zaidi yakua kama Papai lililooza.
 
ushamba tu kapoteza ngozi yake nzuri kwa kutaka uzungu,tatizo kuiga kwingi sasa yamemkuta hapo lazima atakua anatamani ngozi yake irudi kama zamani
 
du aje usukumani apewe ng'ombe 100 za posa
 
Orodha ni ndefu sana iliyojaa watu mbalimbali maarufu hapa bongo wakiwemo waimbaji, waigizaji na wanasiasa, ila kwa uchache hawa wafuatao wanaelezwa kuwemo: Mr.Blue, TID, Kanumba, Diamond, H-Baba, Kapten Komba, Lundenga, Prezoo, Zitto, Ray, JB nk.

hii orodha nimeikubali... bado wale waliopiga kwa short time
 
wange jua weupe sio dili sana wasinge jisumbua kujikarolite
 
Mbona kama amefanana na Shifoo yule tumbili mtu kwenye filamu za kichina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…