Bora asingejichubua, au mnasemaje?

Bora asingejichubua, au mnasemaje?

Huyu dada ni FUNGU LA KUKOSA...nadhani ana matatizo ya ubongo pia!

Hamna cha matatizo ya ubomgo, tatizo ni kuiga tu,
Asione mtu kafanya kitu na yeye anaigia, eti anataka kuwa kama Rihanna.
 
Wajameni,

kuna vitu vingine viwili vibaya kingine kuhusu hawa wadada wanaojikoboa.
1. Ladha ya kabla na ladha ya baada ni tofauti, ukipita kabla, utatamani kuendelea kupita, ukipita baada, hutamani kurudi tena, hivyo sasa kwa hali aliyonayo, hamtakaa msikie kuwa sasa ametulia na mtu!, watu watatamani kupita tuu shauri ya jina, na baada ya hapo, ni kanyaga twende, hawatarudi tena!.
2. Miili ya mkorogo, inatoa smell fulani ambayo siyo!, hata utumie perfum expensive kiasi gani, lile jasho la excitement wakati wa foreplay, kufuatia sebaceous glands kuwa tempered, zina secrete smell fulani awful inayoku put off mood, hivyo kupunguza enjoyment kunakopelekea umalizie tuu ili kutimiza wajibu na baada ya hapo, you'll need no more round, and never next time!, ukiondoka umeondoka!.

P.

Nice idea.
 
chezea ma obagi ya kina mama yutani... Ila Wema hapo amebugi meen.. Alikuwa cute and inocent in her maji ya kunde...

We siumeona alivyokua Cute zamani, sasa hivi hamna kitu zaidi yakua kama Papai lililooza.
 
ushamba tu kapoteza ngozi yake nzuri kwa kutaka uzungu,tatizo kuiga kwingi sasa yamemkuta hapo lazima atakua anatamani ngozi yake irudi kama zamani
 
Orodha ni ndefu sana iliyojaa watu mbalimbali maarufu hapa bongo wakiwemo waimbaji, waigizaji na wanasiasa, ila kwa uchache hawa wafuatao wanaelezwa kuwemo: Mr.Blue, TID, Kanumba, Diamond, H-Baba, Kapten Komba, Lundenga, Prezoo, Zitto, Ray, JB nk.

hii orodha nimeikubali... bado wale waliopiga kwa short time
 
wange jua weupe sio dili sana wasinge jisumbua kujikarolite
 
Mbona kama amefanana na Shifoo yule tumbili mtu kwenye filamu za kichina.
 
Back
Top Bottom