Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnafiki wewe!!Unajua kuna mburura wengine bado hamjaijua siasa ya cdm.
Mfano,wagombea wengi hao unaodai wameenguliwa ni wagombea matapeli kweli kweli.
Wameweka vyao mfukoni wengine mara katekwa,kajisahaulisha makusudi kurudisha form fulan etc.
Msikilize msomi anavyoeleza TL alivyo mpuuziMnafiki mkubwa wewe!Lissu ndio kaengua hao wagombea au una chuki zako na Lissu/CHADEMA?!
Inapteza hata humu ya kufuatilia.Kabisa Uzinduzi hauna maana kabisa
Kwa ulichokiandika nimeshindwa kukusifia kwamba una mbwa toWataachaje kampeni wakt wameshachukua ela za mabeberu kwa kuwadanganya kuwa wanakubalika na watashinda uchaguzi?
Inashangaza sana chama ambacho kinajinasibu kuwa kitashinda uchaguzi sasa unajiuliza inamaana chadema na usomi wao wanashindwa kujua huwezi kuunda serikali usipokuwa na wabunge wa kutosha au nia yao ni kupata Urais tu? Lissu ameshawadanganya mabeberu kuwa watashinda na ukweli Chadema wanajua kabisa hawana ubavu wa kushinda uchaguzi ndo maana kutwa Lissu anafanya visa ili tu mabeberu waone anaonewa kuwekewe vikwazo kwa taarifa yake tutawangalia tu wala hatumgusi ataguswa na box la kula pale atakapopata kura 668,756 sawa na 5.88% kama alizopata Boss wake Mbowe mwaka 2005
Mkuu tuweke sawa maana wengine tunataka kupasuka kwa hasira.Kuna team tayari imeundwa kushughulikia hilo tatizo mkuu ondoa shaka
Kuondelewa kwa hila kivipi lini umesikia Chadema wana semina hata ya kuwafundisha wagombea wao kujaza form za uchaguzi au kuwaeleza wanatakiwa wafanye nini kuepuka mitego ya NEC ? Walishindwa nini kufanya hvyo ela za ruzuku zinafanya nn kwanini zisitumike kufanya hvyo? Acheni mambo yenu mmekosea kujaza maform then mnataka kuwapa lawama wengine .Sasa kuondolewa kwa hila ni dalili kuwa hawakubaliki, au hujui unaoongea nini?
Hapana mkuu tuwe na amani kwani viongozi wapo imara sanaMkuu tuweke sawa maana wengine tunataka kupasuka kwa hasira.
Umechelewa,
Niliandika jana hapa kwamba Lisu angekuwa na akili angetumia ule muda aliotumi kumuwekea Magufuli pingamizi katika kushughulikia na kuwasaidia wabunge wake kwenye majimbo walioenguliwa.
Badala yake yeye akaenda kutafuta sifa ili amfurahishe beberu wake amsterdam na wafuasi wake w mitandaoni.