Bora chaumma ifanye mikutano ya ndani badala ya hadhara

Katika kuzunguka kwako mkuu ulishawahi kutana na mtu yyte anayezungumzia CHAUMMA???
Hao watu wa kujaza hata ukumbi w bar unawapata wapi hapo???
Viongozi hata kutunga slogan wameshindwa ?
Pombe siyo chai
Slogan si ni C4C, yaani CHAUMMA for change? Au?
 
Tatizo la hao walevi walidharau sana mitandao ya kijamii na kuona watu walioko kwenye mitandao ya kijamii siyo hao hao walioko Field,Hivyo mitandao ya jamii kwasasa ikikususa ndivyo na field utasuswa!

Nadhani Sasa wanajionea Watanzania wa Sasa siyo wa miaka 10 iliyopita!

Nchi hii watu wanatambua vyama ni viwili tu,CCM & CHADEMA

Ndiyo maana vyama vingine vya upinzani vinahangaika na CHADEMA badala ya CCM
 
Asee Wame pigwa za Uso Mapema Sana... Mara Paaaah...utashangaa CHAUMMA Ina wabunge 20...
 
Maana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo
Ushauri mzuri sana. Watengeneze kwanza safu za viongozi kuanzia Taifa Hadi chini. Hapo Mwanza walipoenda sidhani kama viongozi wa chama hicho hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…