Bora Episode au mke wa pili na watatu!

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Wanawake wa mjini tupunguze series za wanaume, unajikuta una mwanaume wa 15 bado unawaza kuolewa.

Hawa vijana wa mjini hawaoi bora umkamate lizee hapo uwe mke wa pili au watatu kuliko kuhesabu series na episode za vijana wa pinga ndoa.

Bora nimkamate mzee niwe second wife au third au muendelee kuhesabu series?

Wengine watasema si lazima kuolewa mbona series zinakuandama?

Kona ya Bwiru
 
Wamekusikia watalifanyia kazi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Siyo kwa seremani nassoro?
 
Sasa wanaume 15 wote wa nini jamani.
Ndo mwanzo wa mikosi na majanga.

Mda mwingine kuwa na mwanaume mmoja ni afya.

Tukirudi kwenye topic
hiyo hatua ya kukamata lizee na kuwa mke wa pili au wa tatu ni final stage.

Nachukia sana vijana ambao wanapenda dy/dx. Kwanini ukatafute lizee wakati bado una uwezo wa ku mshape your boy..

Zoo f. k you na lizee lako hilo.
😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬
 
Eti wanasema wanasubiri wewe uolewe first halafu waje kuwa second kwa Mume wako.
 
Mkuu unapatikana kona ya Bwiru hapo mitaa ya Diamond au mitaa ya the Dream kama unapanda kwenda Kitangiri??
 
Anakuwa na huyu kwa mategemeo ya kumuoa,haoi,anaenda kwa mwingine hamuoi,anaenda kwa mwingine hamuoi,bora lizee
 
Vijana kataa ndoa hao hao cute wakichoka kupiga kelele mwishowe uoa...,chako ni chako mom...,wawili ni kutaka kumuua bwana tu au kuuana wenyewe.....Vuta subira mpenz
 
Wenye wazee wao ngoja waje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…