Bora Episode au mke wa pili na watatu!

Bora Episode au mke wa pili na watatu!

Wanawake wa mjini tupunguze series za wanaume, unajikuta una mwanaume wa 15 bado unawaza kuolewa.

Hawa vijana wa mjini hawaoi bora umkamate lizee hapo uwe mke wa pili au watatu kuliko kuhesabu series na episode za vijana wa pinga ndoa.

Bora nimkamate mzee niwe second wife au third au muendelee kuhesabu series?

Wengine watasema si lazima kuolewa mbona series zinakuandama?

Kona ya Bwiru
Ebu check PM yako hapo chap mkuu...😋
 
Mzee toa mafao hayo huku duniani kuna watoto wa afu mbili ni hatari sio wa kukosa.
Hahaha........Sina hamu na Watoto wa miaka ya 2000 tangu mmoja alipofanya nimpatie pension yangu yote ya Mwezi Kwa mara moja, maana si Kwa ufundi ule alionionesha Babu yenu 😜🙌
 
Back
Top Bottom