Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huijui hii nchi ilikotoka wewe mbumbumbu. Kuajiri ni sera ya serikali, sio katiba ya nchi. Dola inayojitambua haiwezi ajiru tu pasipoti kuangalia uhitaji wa watumishi na masilahi yao. Pia si kila mfanyakazi a umma akitaka kuongezewa masilahi basi aongezewe, amini watu wataacha kufanya kazi kila siku wadai kuongezewa masilahi.Sasa kama awamu ya Mwendazake watu walikuwa hawakwepi Kodi ilikuaje kuaje Bajeti ikawa imeganda?
Yaani Ajira zilimshinda
Mishahara ilimshinda
Sekta zingine ziliparalyse etc.
Sasa inawezekanaje watu wanakwepa zote hizo yet miradi inafanyika mipya na zamani,Ajira Kila siku,Mishahara na stahiki za Watumishi zinalipwa kama pension nk?
Who is better Kwa muktadha huo?
Alikataa siku hizi kuyafungia!
Umeandika maelezo marefu ya kijinga.Huijui hii nchi ilikotoka wewe mbumbumbu. Kuajiri ni sera ya serikali, sio katiba ya nchi. Dola inayojitambua haiwezi ajiru tu pasipoti kuangalia uhitaji wa watumishi na masilahi yao. Pia si kila mfanyakazi a umma akitaka kuongezewa masilahi basi aongezewe, amini watu wataacha kufanya kazi kila siku wadai kuongezewa masilahi.
Angalia awamu ya nne wabunge kila siku walikuwa wanajadili kuongezewa masilahi tu, huku wakulima, wafanyabishara wadogo nk wakibaki yatima. Walimu na madaktari kila kukicha migomo. Mwamba kaja kusawazisha kadhia hiyo.
Kwa taarifa yako tu kilaza wewe hadi Kikwete anaondoka madarakani serikali ilikuwa inakopa pesa za kulipa watumishi wa umma. Mishahara ilikuwa inachelewa hadi aibu. Wastaafu walikuwa hawalipwi tena (ile lump sum) na pensheni ya kila mwezi ilikuwa ni majaaliwa kuipata. Tena wakataka wastaafu wasilipwe lump sum yao kisa eti wanazitumia vibaya. Mwamba kaingia jatupila mbali upuuzi huu- wahusika wanajua wewe huwezi jua.
Mwamba kaingia mshahara unaingia on time, mstaafu hasubiri tena miaka mitano ndo alipwe pensheni yake. Mashirika ya umma yakaanza kujiendesha kwa rika na kuanza kutoa magawio serikalini.
Sasa hivi utasikia tena hayo? Mishahara inachelewa, serikali inakopa pesa kila siku, wastaafu wanachelewesha pensheni ya kila mwezi, na hadi leo katikati ya mwezi wapo ambao hawajapata ya mwezi uliopita. Wewe kula kulala kwa shemeji unakurupuka tu hujui inchi inaendeleaje.
Hivi vimuradi alivyovitaja si miradi ya kufanywa na serikali kuu. Hiyo ni kazi ya halmashauri, madiwani na wabunge. Je, kama ni shule ni raisi gani alijenga mashule kumzidi Mkapa? Je, ni raisi gani kasambaza zahanati na hospitali hadi vijijini kumzidi Magufuli? Kakojoe ukalale kesho shule..
Huwa sibishani na wendawazimu. Ni kichaa tu kama wewe anaweza kuajiri ajira mpya wakati huohuo ana programu ya kubaini watumishi hewa. Ni punguani kama wewe atalipa mishahara mipya, kuongeza watu kwenye payroll na kuongeza increments wakati huohuo anatafuta kubaini mishahara hewa, pensheni hewa na kubalansi gape ya masilahi miongoni mwa watumishi wa umma.Umeandika maelezo marefu ya kijinga.
Narudi kule kule kama mlikuwa mnakusanya pesa ilikuaje Hadi mkashindwa kuajiri? Eti inaajiri Kwa mahitaji my foot [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],bwege wewe nitajie hata sekta Moja ambayo walau ina Watumishi 50% ya mahitaji.
Eti zama za Kikwete alikuwa anakopa Mishahara na Jiwe inaingia on time,hiki ni kituko kingine Cha mtu mjinga.Hakuna Rais anakumbukwa na Watumishi kama Kikwete huyo Jiwe wako labda atakumbukwa na wajinga wenzako.
Kwanza wewe ukome kabisa kuzungumzia mambo ya Wakulima,Jiwe sio tuu hakuna kitu alifanya kwenye Kilimo Bali aliharibu kabisa masoko ya Wakulima so alikuwa ni mzigo mkubwa kwenye hii Nchi.
Eti ooh hivyo sio vimiradi vya serikali kuu ni vya Halmashauri.Twende taratibu wakati Jiwe ameharibu uchumi alikuwa nasingizia miradi ya kimkakati na Hadi tunamfukia hakuna hata mradi wa maana ulikuwa japo 30% ukiacha Sgr ya Dar-Moro.
Swali inakuaje sasa hivi humsikii Rais Samia analeta visingizio na miradi anaikimbiza na karibu iishe? Umewahi msikia analeta visingizio vya yule failure wenu?
Jiwe alikuwa anashinda kukagua stand,Vituo vya Afya,kuzindua miradi ya JK ya Toka 2014 na ujinga mwingine kama kuimba porojo za Elimu bure wakati Samia ni Bure Hadi university au wewe umesikia nani kakosa mkopo?
Narudi kukwambiaJiwe was a failure ndio maana Rais Samia anamprove wrong Kwa kwenda opp na Uongozi wake na she is delivering na wewe unajua hapa unahangaika tuu Kulinda legacy.Mtu anajiita Rais madarasa yamemshinda ,Rais w wajinga na w hovyo kuwahi tokea Tanzania.
Endelea kupiga ramli eti atakopa salaries ,hutokuja kusikia hata siku Moja hata ukeshe Kwa waganga Mzee na reason ni kwamba Samia has Masters of Economics, business exposure na ana network ya watu ndanj na Nje ,mama connection.
je hayo ma miradi aliyoyaacha jiwe ,fungu lake la kuyamalizia aliliacha tayari kabisa pembeni,?!!yule jamaa alikuwa hajui uchumi kabisa na hakutaka kushauliwa ndio maana alikuwa anakimbilia kwwnye mikopo ya kibiashara,baada ya miezi 6 tu unaanza kurudisha mkopo,,!!MUNGU FUNDIHizo unazosema zinafanyika kwa mkopo ujuwe toka Breton Woods nk.
Ukiwa uchumi wa kati unatakiwa kuwa na vyanzo vya ndani imara vya mapato (ndicho alichofanya JPM. Opportunity Cost. Yaani hiki kisubiri, kile twende nacho sasa).
Hakuna miradi mipya mikubwa ya kimkakati iliyobuniwa awamu ya sita. Miradi kama shule, zahanati, matundu ya vyoo, Johnson Johnson ni ya kawaida tu na haina legacy kwa sababu kila awamu lazima ivijenge maana Watanzania wanazidi kuzaliana.
Aidha, hiyo ni miradi midogomidogo ambayo ni saizi ya Diwani kujenga, siyo hata Mbunge.
Wakwepa Kodi si na nyinyi mmo,huwa mnadai risiti!?Mpaka gazeti linapewa figure hiyo, ujuwe kiasi kikubwa hakikufichuliwa, hivyo hiyo figure huenda ni ndogo (siyo uhakika)
Huwa unadai risiti ukifanya manunuzi!?..Kama laa basi unasaidia kukwepa kodiMagazeti dada mawili ya The Citizen na Mwananchi yameripoti ukwepaji kodi wa kupindukia (Tzs.3.3 tr) huku tukikuza deni la taifa kwa kukopa hadi Mhimili wa Bunge unastuka. Magazeti haya yamejizolea sifa lukuki kwa uandishi wenye weledi.
Kauli ya Rais ni Sheria
Kaulimbiu ya kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake inaligharimu taifa na kuleta madaraja ya maisha (stations or life) yanayostawisha matabaka kwenye jamii.
Hivi sasa watu wanakula mlo mmoja maana unga umetinga 2000/ kg, maharagwe 4000/ kg, mchele wa gredi ya chini 3000/ kg, sukari tangu enzi ya Dr. Omar VP imeshinda awamu zote 4 kushusha bei.
Mafuta ya kula hivi sasa ni anasa, watu wanakula chukuchuku kwenye nchi inayolima mawese, pamba, mahindi, karanga, minazi, ina samaki na wanyama vyote hivyo vinatoa mafuta ya kula.
Nchi inaenda kwenye uchaguzi bila agenda. Vyama havina agenda ilhali wananchi wana agenda ambayo vyama haviioni.
Haiyumkiniki kwamba hata miradi ya kimkakati ya maendeleo imekwama kumalizika kuelekea 2025 licha ya ela iliyokopwa Tzs.42 tr ni zaidi ya thamani-jumla ya miradi yote mikubwa.
Znz kuna paa hadi umeme wanaopewa hauwatoshi wamelazimika kuomba waongezewe kiwango cha umeme.
Znz hiyo hiyo bei ya bidhaa na huduma zimebaki kuwa himilivu wkt bara uwezo wa mlaji kununua (purchasing power) umeanguka hadi kula mlo mmoja. Znz na Tz Bara ni nchi moja.
View attachment 2518066View attachment 2518067
kamfuate alikoenda. Nchi hii hajaanza kuongoza Magufuli. Hata hivyo ameongoza miaka 5 tu. Miaka hiyo 5 hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kuvuruga nchi. Kila mara Magufuli utafikiri aliongoza nchi hii miaka 40 au zaidi.Magazeti dada mawili ya The Citizen na Mwananchi yameripoti ukwepaji kodi wa kupindukia (Tzs.3.3 tr) huku tukikuza deni la taifa kwa kukopa hadi Mhimili wa Bunge unastuka. Magazeti haya yamejizolea sifa lukuki kwa uandishi wenye weledi.
Kauli ya Rais ni Sheria
Kaulimbiu ya kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake inaligharimu taifa na kuleta madaraja ya maisha (stations or life) yanayostawisha matabaka kwenye jamii.
Hivi sasa watu wanakula mlo mmoja maana unga umetinga 2000/ kg, maharagwe 4000/ kg, mchele wa gredi ya chini 3000/ kg, sukari tangu enzi ya Dr. Omar VP imeshinda awamu zote 4 kushusha bei.
Mafuta ya kula hivi sasa ni anasa, watu wanakula chukuchuku kwenye nchi inayolima mawese, pamba, mahindi, karanga, minazi, ina samaki na wanyama vyote hivyo vinatoa mafuta ya kula.
Nchi inaenda kwenye uchaguzi bila agenda. Vyama havina agenda ilhali wananchi wana agenda ambayo vyama haviioni.
Haiyumkiniki kwamba hata miradi ya kimkakati ya maendeleo imekwama kumalizika kuelekea 2025 licha ya ela iliyokopwa Tzs.42 tr ni zaidi ya thamani-jumla ya miradi yote mikubwa.
Znz kuna paa hadi umeme wanaopewa hauwatoshi wamelazimika kuomba waongezewe kiwango cha umeme.
Znz hiyo hiyo bei ya bidhaa na huduma zimebaki kuwa himilivu wkt bara uwezo wa mlaji kununua (purchasing power) umeanguka hadi kula mlo mmoja. Znz na Tz Bara ni nchi moja.
View attachment 2518066View attachment 2518067
We unaota au unaelewa kweli unachokiandika?Juma lililopita Bunge la Jamhuri ya Kenya kupitia Kamati yake ya Bajeti limeishauri serikali kuachana mara moja na mpango wa IMF wa kufufua uchumi wa taifa hilo kwamba mpango huo utaizika Kenya kabisa kimaendeleo.
Mataifa makubwa yanayoratibu taasisi hizi za kibeberu (Breton woods) ndiyo yalimuweka Ruto madarakani kwa kuingilia mambo ya ndani ya Jamhuri huru ya Kenya (uchaguzi) hata wakati uchaguzi ulipokuwa mikononi mwa Mahakama ya Upeo.
Jambo liwapo Mahakamani halipaswi kuingiliwa na mtu au taasisi.
US ilimtuma Sen. Chris Coons kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri huru ya Kenya kwa kujipa dhima na wajibu wa Mahakama ya Kenya kusuluhisha mkwamo wkt hata rais mstaafu wa Botswana Festus Mogae aliipisha Kenya ifanye mambo yake ya ndani ambayo yalikuwa hayajafikia hatua ya usuluhishi na upatanishi (hata matokeo rasmi ya kura yalikuwa bado).
Rais Festus Mogae alitumwa na Jumuiya ya Madola lakini busara ilimuongoza kujiondokea ili kutunza heshima yake na ya nchi yake..
Nakusaidia kumshangaa.Huijui hii nchi ilikotoka wewe mbumbumbu. Kuajiri ni sera ya serikali, sio katiba ya nchi. Dola inayojitambua haiwezi ajiru tu pasipoti kuangalia uhitaji wa watumishi na masilahi yao. Pia si kila mfanyakazi a umma akitaka kuongezewa masilahi basi aongezewe, amini watu wataacha kufanya kazi kila siku wadai kuongezewa masilahi.
Angalia awamu ya nne wabunge kila siku walikuwa wanajadili kuongezewa masilahi tu, huku wakulima, wafanyabishara wadogo nk wakibaki yatima. Walimu na madaktari kila kukicha migomo. Mwamba kaja kusawazisha kadhia hiyo.
Kwa taarifa yako tu kilaza wewe hadi Kikwete anaondoka madarakani serikali ilikuwa inakopa pesa za kulipa watumishi wa umma. Mishahara ilikuwa inachelewa hadi aibu. Wastaafu walikuwa hawalipwi tena (ile lump sum) na pensheni ya kila mwezi ilikuwa ni majaaliwa kuipata. Tena wakataka wastaafu wasilipwe lump sum yao kisa eti wanazitumia vibaya. Mwamba kaingia jatupila mbali upuuzi huu- wahusika wanajua wewe huwezi jua.
Mwamba kaingia mshahara unaingia on time, mstaafu hasubiri tena miaka mitano ndo alipwe pensheni yake. Mashirika ya umma yakaanza kujiendesha kwa rika na kuanza kutoa magawio serikalini.
Sasa hivi utasikia tena hayo? Mishahara inachelewa, serikali inakopa pesa kila siku, wastaafu wanachelewesha pensheni ya kila mwezi, na hadi leo katikati ya mwezi wapo ambao hawajapata ya mwezi uliopita. Wewe kula kulala kwa shemeji unakurupuka tu hujui inchi inaendeleaje.
Hivi vimuradi alivyovitaja si miradi ya kufanywa na serikali kuu. Hiyo ni kazi ya halmashauri, madiwani na wabunge. Je, kama ni shule ni raisi gani alijenga mashule kumzidi Mkapa? Je, ni raisi gani kasambaza zahanati na hospitali hadi vijijini kumzidi Magufuli? Kakojoe ukalale kesho shule..
Forodha mlaji hahusiki.Wakwepa Kodi si na nyinyi mmo,huwa mnadai risiti!?
Hakuna nchi duniani imeendelea kwa misaada na mikopo ya wafadhili wa nje.je hayo ma miradi aliyoyaacha jiwe ,fungu lake la kuyamalizia aliliacha tayari kabisa pembeni,?!!yule jamaa alikuwa hajui uchumi kabisa na hakutaka kushauliwa ndio maana alikuwa anakimbilia kwwnye mikopo ya kibiashara,baada ya miezi 6 tu unaanza kurudisha mkopo,,!!MUNGU FUNDI
Yoeli.2:28-30We unaota au unaelewa kweli unachokiandika?
kamfuate alikoenda. Nchi hii hajaanza kuongoza Magufuli. Hata hivyo ameongoza miaka 5 tu. Miaka hiyo 5 hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kuvuruga nchi. Kila mara Magufuli utafikiri aliongoza nchi hii miaka 40 au zaidi.
Na nina kwambia kwa Afrika hadi kizazi chako chote kitamalizika duniani ,Hakuna nchi ya kiafrika itakuja kuwa na maendeleo ya kueleweka,tuliwasingizia wazungu leo ni miaka 60 tunajiongoza wenyewe hakuna la maana sana lililofanyika kila kiongozi ni mwizi tu.Huyo naye MWENDAZAKE akaingia na gia eti mzalendo namba moja kumbe naye MWIZI TU!!Hakuna nchi duniani imeendelea kwa misaada na mikopo ya wafadhili wa nje.
Ndio maana nasema huna akili Wala hoja kama bwanako Jiwe.Huwa sibishani na wendawazimu. Ni kichaa tu kama wewe anaweza kuajiri ajira mpya wakati huohuo ana programu ya kubaini watumishi hewa. Ni punguani kama wewe atalipa mishahara mipya, kuongeza watu kwenye payroll na kuongeza increments wakati huohuo anatafuta kubaini mishahara hewa, pensheni hewa na kubalansi gape ya masilahi miongoni mwa watumishi wa umma.
Anyway fanya assignment zako za shule haya utayakuta ukikua.
Magazeti dada mawili ya The Citizen na Mwananchi yameripoti ukwepaji kodi wa kupindukia (Tzs.3.3 tr) huku tukikuza deni la taifa kwa kukopa hadi Mhimili wa Bunge unastuka. Magazeti haya yamejizolea sifa lukuki kwa uandishi wenye weledi.
Kauli ya Rais ni Sheria
Kaulimbiu ya kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake inaligharimu taifa na kuleta madaraja ya maisha (stations or life) yanayostawisha matabaka kwenye jamii.
Hivi sasa watu wanakula mlo mmoja maana unga umetinga 2000/ kg, maharagwe 4000/ kg, mchele wa gredi ya chini 3000/ kg, sukari tangu enzi ya Dr. Omar VP imeshinda awamu zote 4 kushusha bei.
Mafuta ya kula hivi sasa ni anasa, watu wanakula chukuchuku kwenye nchi inayolima mawese, pamba, mahindi, karanga, minazi, ina samaki na wanyama vyote hivyo vinatoa mafuta ya kula.
Nchi inaenda kwenye uchaguzi bila agenda. Vyama havina agenda ilhali wananchi wana agenda ambayo vyama haviioni.
Haiyumkiniki kwamba hata miradi ya kimkakati ya maendeleo imekwama kumalizika kuelekea 2025 licha ya ela iliyokopwa Tzs.42 tr ni zaidi ya thamani-jumla ya miradi yote mikubwa.
Znz kuna paa hadi umeme wanaopewa hauwatoshi wamelazimika kuomba waongezewe kiwango cha umeme.
Znz hiyo hiyo bei ya bidhaa na huduma zimebaki kuwa himilivu wkt bara uwezo wa mlaji kununua (purchasing power) umeanguka hadi kula mlo mmoja. Znz na Tz Bara ni nchi moja.
View attachment 2518066View attachment 2518067
Tangnyika haiwezi kiuingia baraka kama hamjajutia kilichotendwa na Nyerere kuvamia Zanzibar na kuuwa watu kwa maelfu wasio hatia na kuendeleza mauwaji kila uchaguzi. Karma itawatafuna tu mpaka mtapojutia na kuomba radhi . Vyenginevyo mtakuja kulalamika kila siku