Bora Hayati Dkt. Magufuli, haya yamerudi tena!

Huijui hii nchi ilikotoka wewe mbumbumbu. Kuajiri ni sera ya serikali, sio katiba ya nchi. Dola inayojitambua haiwezi ajiru tu pasipoti kuangalia uhitaji wa watumishi na masilahi yao. Pia si kila mfanyakazi a umma akitaka kuongezewa masilahi basi aongezewe, amini watu wataacha kufanya kazi kila siku wadai kuongezewa masilahi.

Angalia awamu ya nne wabunge kila siku walikuwa wanajadili kuongezewa masilahi tu, huku wakulima, wafanyabishara wadogo nk wakibaki yatima. Walimu na madaktari kila kukicha migomo. Mwamba kaja kusawazisha kadhia hiyo.

Kwa taarifa yako tu kilaza wewe hadi Kikwete anaondoka madarakani serikali ilikuwa inakopa pesa za kulipa watumishi wa umma. Mishahara ilikuwa inachelewa hadi aibu. Wastaafu walikuwa hawalipwi tena (ile lump sum) na pensheni ya kila mwezi ilikuwa ni majaaliwa kuipata. Tena wakataka wastaafu wasilipwe lump sum yao kisa eti wanazitumia vibaya. Mwamba kaingia jatupila mbali upuuzi huu- wahusika wanajua wewe huwezi jua.

Mwamba kaingia mshahara unaingia on time, mstaafu hasubiri tena miaka mitano ndo alipwe pensheni yake. Mashirika ya umma yakaanza kujiendesha kwa rika na kuanza kutoa magawio serikalini.

Sasa hivi utasikia tena hayo? Mishahara inachelewa, serikali inakopa pesa kila siku, wastaafu wanachelewesha pensheni ya kila mwezi, na hadi leo katikati ya mwezi wapo ambao hawajapata ya mwezi uliopita. Wewe kula kulala kwa shemeji unakurupuka tu hujui inchi inaendeleaje.

Hivi vimuradi alivyovitaja si miradi ya kufanywa na serikali kuu. Hiyo ni kazi ya halmashauri, madiwani na wabunge. Je, kama ni shule ni raisi gani alijenga mashule kumzidi Mkapa? Je, ni raisi gani kasambaza zahanati na hospitali hadi vijijini kumzidi Magufuli? Kakojoe ukalale kesho shule..
 
Umeandika maelezo marefu ya kijinga.

Narudi kule kule kama mlikuwa mnakusanya pesa ilikuaje Hadi mkashindwa kuajiri? Eti inaajiri Kwa mahitaji my foot [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],bwege wewe nitajie hata sekta Moja ambayo walau ina Watumishi 50% ya mahitaji.

Eti zama za Kikwete alikuwa anakopa Mishahara na Jiwe inaingia on time,hiki ni kituko kingine Cha mtu mjinga.Hakuna Rais anakumbukwa na Watumishi kama Kikwete huyo Jiwe wako labda atakumbukwa na wajinga wenzako.

Kwanza wewe ukome kabisa kuzungumzia mambo ya Wakulima,Jiwe sio tuu hakuna kitu alifanya kwenye Kilimo Bali aliharibu kabisa masoko ya Wakulima so alikuwa ni mzigo mkubwa kwenye hii Nchi.

Eti ooh hivyo sio vimiradi vya serikali kuu ni vya Halmashauri.Twende taratibu wakati Jiwe ameharibu uchumi alikuwa nasingizia miradi ya kimkakati na Hadi tunamfukia hakuna hata mradi wa maana ulikuwa japo 30% ukiacha Sgr ya Dar-Moro.

Swali inakuaje sasa hivi humsikii Rais Samia analeta visingizio na miradi anaikimbiza na karibu iishe? Umewahi msikia analeta visingizio vya yule failure wenu?

Jiwe alikuwa anashinda kukagua stand,Vituo vya Afya,kuzindua miradi ya JK ya Toka 2014 na ujinga mwingine kama kuimba porojo za Elimu bure wakati Samia ni Bure Hadi university au wewe umesikia nani kakosa mkopo?

Narudi kukwambiaJiwe was a failure ndio maana Rais Samia anamprove wrong Kwa kwenda opp na Uongozi wake na she is delivering na wewe unajua hapa unahangaika tuu Kulinda legacy.Mtu anajiita Rais madarasa yamemshinda ,Rais w wajinga na w hovyo kuwahi tokea Tanzania.

Endelea kupiga ramli eti atakopa salaries ,hutokuja kusikia hata siku Moja hata ukeshe Kwa waganga Mzee na reason ni kwamba Samia has Masters of Economics, business exposure na ana network ya watu ndanj na Nje ,mama connection.
 
Huwa sibishani na wendawazimu. Ni kichaa tu kama wewe anaweza kuajiri ajira mpya wakati huohuo ana programu ya kubaini watumishi hewa. Ni punguani kama wewe atalipa mishahara mipya, kuongeza watu kwenye payroll na kuongeza increments wakati huohuo anatafuta kubaini mishahara hewa, pensheni hewa na kubalansi gape ya masilahi miongoni mwa watumishi wa umma.

Anyway fanya assignment zako za shule haya utayakuta ukikua.
 
Reactions: nao
je hayo ma miradi aliyoyaacha jiwe ,fungu lake la kuyamalizia aliliacha tayari kabisa pembeni,?!!yule jamaa alikuwa hajui uchumi kabisa na hakutaka kushauliwa ndio maana alikuwa anakimbilia kwwnye mikopo ya kibiashara,baada ya miezi 6 tu unaanza kurudisha mkopo,,!!MUNGU FUNDI
 
Huwa unadai risiti ukifanya manunuzi!?..Kama laa basi unasaidia kukwepa kodi
 
kamfuate alikoenda. Nchi hii hajaanza kuongoza Magufuli. Hata hivyo ameongoza miaka 5 tu. Miaka hiyo 5 hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kuvuruga nchi. Kila mara Magufuli utafikiri aliongoza nchi hii miaka 40 au zaidi.
 
We unaota au unaelewa kweli unachokiandika?
 
Nakusaidia kumshangaa.

Rais mwenye akili timamu ata ajiri vipi wakati nchi amepewa ina wafanyakazi hewa 10,000? Ya pili duniani kwa wafanyakazi hewa! Achilia vyeti feki.
 
Hakuna nchi duniani imeendelea kwa misaada na mikopo ya wafadhili wa nje.
 
kamfuate alikoenda. Nchi hii hajaanza kuongoza Magufuli. Hata hivyo ameongoza miaka 5 tu. Miaka hiyo 5 hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kuvuruga nchi. Kila mara Magufuli utafikiri aliongoza nchi hii miaka 40 au zaidi.

Huyo naye ni Magufuli? Au product ya Magufuli?
 
Hakuna nchi duniani imeendelea kwa misaada na mikopo ya wafadhili wa nje.
Na nina kwambia kwa Afrika hadi kizazi chako chote kitamalizika duniani ,Hakuna nchi ya kiafrika itakuja kuwa na maendeleo ya kueleweka,tuliwasingizia wazungu leo ni miaka 60 tunajiongoza wenyewe hakuna la maana sana lililofanyika kila kiongozi ni mwizi tu.Huyo naye MWENDAZAKE akaingia na gia eti mzalendo namba moja kumbe naye MWIZI TU!!
 
Ndio maana nasema huna akili Wala hoja kama bwanako Jiwe.

Unabaini Watumishi hewa miaka 6? [emoji2957][emoji2957] Jinga wewe
 
Nipo naomboleza kifo Cha familia ya mtanzania
 


Tanganyika haiwezi kuingia baraka kama hamjajutia kilichotendwa na Nyerere kuvamia Zanzibar na kuuwa watu kwa maelfu wasio hatia na kuendeleza mauwaji kila uchaguzi. Karma itawatafuna tu mpaka mtapojutia na kuomba radhi . Vyenginevyo mtakuja kulalamika kila siku
 

Mpuuzi kweli wewe. Huna jipya kazi yako kuja na utoto jukwaani alafu hujui hata kuandika huna shule kichwani. Hao maelfu ya watu walio uwawa uliwaona? Kutwa unakomenti upuuzi wa kikobazi.
 
Reactions: nao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…