Remotex
Member
- Oct 3, 2020
- 63
- 118
Utazunguka weee utarudi kwenye upendo... Kikubwa ndani ya mapenzi ni upendo mengine yatafwata baada ya upendo, kama uvumilivu, tabia njema, na kumcha Mwenyenzi MunguAsee wanajf people's Power na kaz iendelee kuna mkanganyiko hapa
Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa
1.mwanamke mwenye mtoto(karibu la mume wake umeliona🤣)
2.mwanamke aliyekuzidi umri
3.mwanamke aliyekuzidi elimu
4. Mwanamke aliyekuzidi pesa
NB. Ni mwenye sifa moja(sio kwamba anasifa zote hizo)
Yupi bora??