Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa

Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa

Kuna uwezekano wa kumpata mtu mwenye hivi vyote
100% uwezekano huo upo ndani ya wanawake kuna wanaofaa kuwa wake nao ni wachache na ni bahati KUWAPATA, hao ndio wenye hizo sifa... Nakurudia kusema "WAPO" Sijisifii akiwemo mke wangu kipenz Mama Abby, "Kuoa au kuelewa skuiz ni sawasawa na Kubet tu" Unaweza ukala au ukaliwa... Ni kumtanguliza Mungu akupe macho ufanye chaguo sahihi usiliwe
 
Back
Top Bottom