Utazunguka weee utarudi kwenye upendo... Kikubwa ndani ya mapenzi ni upendo mengine yatafwata baada ya upendo, kama uvumilivu, tabia njema, na kumcha Mwenyenzi MunguAsee wanajf people's Power na kaz iendelee kuna mkanganyiko hapa
Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa
1.mwanamke mwenye mtoto(karibu la mume wake umeliona🤣)
2.mwanamke aliyekuzidi umri
3.mwanamke aliyekuzidi elimu
4. Mwanamke aliyekuzidi pesa
NB. Ni mwenye sifa moja(sio kwamba anasifa zote hizo)
Yupi bora??
Kuna uwezekano wa kumpata mtu mwenye hivi vyoteUtazunguka weee utarudi kwenye upendo... Kikubwa ndani ya mapenzi ni upendo mengine yatafwata baada ya upendo, kama uvumilivu, tabia njema, na kumcha Mwenyenzi Mungu
Asee wanajf people's Power na kaz iendelee kuna mkanganyiko hapa
Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa
1.mwanamke mwenye mtoto(karibu la mume wake umeliona🤣)
2.mwanamke aliyekuzidi umri
3.mwanamke aliyekuzidi elimu
4. Mwanamke aliyekuzidi pesa
NB. Ni mwenye sifa moja(sio kwamba anasifa zote hizo)
Yupi bora??
Basi tutafute mpenzi atakayewezesha ustawi wa jamii"Ustawi wa jamii"
Wewe si tayari umemuelewa, piga kura sasa.Namba moja iedit mkuu
Mkuu umemaliza utata lakini naomba nkuulize if swala ni kuwa old why mengi aliachana na mkewe?? Lakini mbili hapo why bill gate au Vladimir putin hakuna mnyw mke na Wana wana vigezo hivo vitatu 1.older 2.wealth and 4.fit
Sijaelewa mkuu 🤣Wewe si tayari umemuelewa, piga kura sasa.
Mkuu tunaoa watu na sio malaika na sifa moja kuu ya binadamu ni kuwa hatupo perfect. Unaweza ukapata mke au mme mzuri ila mbeleni akabadilika na ivyo ukashindwa kuendelea nae.Mkuu umemaliza utata lakini naomba nkuulize if swala ni kuwa old why mengi aliachana na mkewe?? Lakini mbili hapo why bill gate au Vladimir putin hakuna mnyw mke na Wana wana vigezo hivo vitatu 1.older 2.wealth and 4.fit
Lakini kuna Kasumba inaonesha mtu akishafika miaka 35 kuna possibility Huyu akiingia kwny ndoa hasidumu sababu alikuwa kashaizoea uhuru
mmmh 🤔Kataa ndoa.
Hiyo #1 uliyoshauri aiedit si uliielewa mantiki yake, kwanini usingechagua?Sijaelewa mkuu 🤣
Sakasaka,kwani unasaka Nini kwangu mkuuHiyo #1 uliyoshauri aiedit si uliielewa mantiki yake, kwanini usingechagua?
Mi ni shabiki wako, nakufuatilia sana.Sakasaka,kwani unasaka Nini kwangu mkuu
🤣🤣🤣Sawa,mi namba 1Mi ni shabiki wako, nakufuatilia sana.
Ujue nini, mtu hunivutia kutokana na swaga zake tu, siyo lazima nione msura wala nini, yaan hujikuta nnakuwa shabiki wake, sijui nipoje tu!🤣🤣🤣Sawa,mi namba 1
Na mfia dink sana vipiKwa hao uliowataja usioe hata mmoja hapo
Kwa hao uliowataja usioe hata mmoja hapog