David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Kazi zangu za chaka natumia nguvu nyingi sana lazima nile tena nipate msosi wa kutosha usiniulize mambo ya kwaresma.
Wife ni wa dini ya upande wa pili ,mwezi mzima sipo nyumbani leo nimerudi nataka nipunguze uzito yeye hataki anasema yupo kwenye thwaumuuuu.
Daaah inauma sana chakula unakiona lakini hauwezi kula,hapa nasubiri afuturu tu.