Bora kuoa wa dini yako,mchana wa leo nimenyimwa mzigo

David Harvey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,894
Reaction score
6,020
Kazi zangu za chaka natumia nguvu nyingi sana lazima nile tena nipate msosi wa kutosha usiniulize mambo ya kwaresma.

Wife ni wa dini ya upande wa pili ,mwezi mzima sipo nyumbani leo nimerudi nataka nipunguze uzito yeye hataki anasema yupo kwenye thwaumuuuu.

Daaah inauma sana chakula unakiona lakini hauwezi kula,hapa nasubiri afuturu tu.
 
Kazi zangu za chaka natumia nguvu nyingi sana lazima nile tena nipate msosi wa kutosha usiniulize mambo ya kwaresma.wife ni wa dini ya upande wa pili ,mwezi mzima sipo nyumbani leo nimerudi nataka nipunguze uzito yeye hataki anasema yupo kwenye thwaumuuuu.
Daaah inauma sana chakula unakiona lakini hauwezi kula,hapa nasubiri afuturu tu.
Ungemueleshwa vizuri tu angekuelewa
 
Kazi zangu za chaka natumia nguvu nyingi sana lazima nile tena nipate msosi wa kutosha usiniulize mambo ya kwaresma.

Wife ni wa dini ya upande wa pili ,mwezi mzima sipo nyumbani leo nimerudi nataka nipunguze uzito yeye hataki anasema yupo kwenye thwaumuuuu.

Daaah inauma sana chakula unakiona lakini hauwezi kula,hapa nasubiri afuturu tu.
Eh mke amekunyima😂😂😂😂 hapana kwa kweli labda sio mke! Kufunga kuna uhusiano gani hapo?
 
Kwa iman yao hakuna ndoa mseto wa dini, hapo kwanza ana zini, hiyo ndoa mlifungia kwa sheikh gani? Kama sivyo basi hata kufunga anapoteza muda wake tu!
 
Anapoteza muda vipi wewe Mungu hata uamue hatma yake hapa?

Unaandika hivi sometimes wewe mwenyewe kufunga hujafunga basi kujikuta judge wa wengine.
 
Kazi zangu za chaka natumia nguvu nyingi sana lazima nile tena nipate msosi wa kutosha usiniulize mambo ya kwaresma.

Wife ni wa dini ya upande wa pili ,mwezi mzima sipo nyumbani leo nimerudi nataka nipunguze uzito yeye hataki anasema yupo kwenye thwaumuuuu.

Daaah inauma sana chakula unakiona lakini hauwezi kula,hapa nasubiri afuturu tu.
Oa mke . Kwani unaoa dini?
 
Back
Top Bottom