David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Ungemueleshwa vizuri tu angekuelewaKazi zangu za chaka natumia nguvu nyingi sana lazima nile tena nipate msosi wa kutosha usiniulize mambo ya kwaresma.wife ni wa dini ya upande wa pili ,mwezi mzima sipo nyumbani leo nimerudi nataka nipunguze uzito yeye hataki anasema yupo kwenye thwaumuuuu.
Daaah inauma sana chakula unakiona lakini hauwezi kula,hapa nasubiri afuturu tu.
niko mufindi iringaMchana kweli na joto kali
Eh mke amekunyima😂😂😂😂 hapana kwa kweli labda sio mke! Kufunga kuna uhusiano gani hapo?Kazi zangu za chaka natumia nguvu nyingi sana lazima nile tena nipate msosi wa kutosha usiniulize mambo ya kwaresma.
Wife ni wa dini ya upande wa pili ,mwezi mzima sipo nyumbani leo nimerudi nataka nipunguze uzito yeye hataki anasema yupo kwenye thwaumuuuu.
Daaah inauma sana chakula unakiona lakini hauwezi kula,hapa nasubiri afuturu tu.
Amekukatiliniko mufindi iringa
Anapoteza muda vipi wewe Mungu hata uamue hatma yake hapa?Kwa iman yao hakuna ndoa mseto wa dini, hapo kwanza ana zini, hiyo ndoa mlifungia kwa sheikh gani? Kama sivyo basi hata kufunga anapoteza muda wake tu!
Oa mke . Kwani unaoa dini?Kazi zangu za chaka natumia nguvu nyingi sana lazima nile tena nipate msosi wa kutosha usiniulize mambo ya kwaresma.